Msaada wataalam.
Vidole vya mikono yangu vimeshindikana kusomeka kwenye mashine za biometric wakati wa kusajili laini za simu, nimejaribu zaidi ya vituo 4 lakini imeshindikana.
Naomba msaada ni kitu gani kinasababisha hali ya aina hii kujitokeza, na nifanye nini au nile vyakula au dawa za aina...
Kimbunga kilichoanza kujijenga katikati ya bahari ya India baada ya kimbunga Idai kupita kimepewa jina; kwa sasa kinajulikana kama Savanna cyclone.
Savanna bado hakijaanza kutembea, lakini mzunguko wake ni wa wastani wa kilomita 162 kwa saa, ambazo pepo zake zimezuia mawingu yaliyokuwa yalete...
Msumbiji wameanza kuzalisha kinywaji cha Impala beer kwa kutumia mihogo. Hadi sasa Impala ndicho kinywaji kinacho pendwa na wananchi wengi kwani watu wenye kipato cha chini wanamudu bei yake, na kwa sasa Impala inashika nafasi ya tatu kwa idadi ya wateja.
Kilimo cha mihogo kwa sasa kimeingia...
Majenerata 7 kati ya 9 ya shirika la umeme Tanesco yameharibika, yamebaki majenerata 2 yenye uwezo wa kuzalisha 4 MW za umeme ambazo ni mdogo mno.
Mgao wa umeme umeanza rasmi Mtwara na Lindi na leo watatoa ratiba ya mgao wa umeme
Wakulima wengi kwa sasa wanavuna ufuta mashambani, soko zuri la ufuta bado ni changamoto kwa wakulima wengi wa mkoa wa Pwani. Naomba michango yenu, wapi na ni nani ananunua ufuta na kwa bei gani.
Asante
Mapigano kati ya wakulima wa kijiji cha Bwama tarafa ya Kibuta wilaya ya Kisarawe na wafugaji wa ng'ombe waliojulikana ni wa makabila ya Wamang'ati na Wamasai yameanza rasmi leo. Wafugaji hawa wanakisiwa kuwa wamehama kutoka mikoa ya kusini wakitafuta malisho na maji kwa ajili ya mifugo yao...
Chief Olusegun Obasanjo is not only a retired army officer, former head of state and politician, he is also a successful farmer. He owns Ota Farm, which is also called Obasanjo Farms. The large farm was formally opened on October 8, 1979, a week after Obasanjo handed over power to a civilian...
This mortgage loan calculator - also known as an amortization schedule calculator - lets you estimate your monthly loan repayments. It also determines out how much of your repayments will go towards the principal and how much will go towards interest. Simply input your loan amount, interest...
Waungwana ninatajia kusafiri mikoa ya kusini ya Lindi, Mtwara na Ruvuma kikazi; kusudio la waraka huu ni kuomba kupatiwa taarifa kwa yeyote anayeijua barabara inayotoka Masasi, Nanyumbu, Tunduru hadi Songea kama inapitika kipindi hiki cha mvua, na kama inapitika ni basi gani zuri linalofanya...
PESA YA RADA
ZAIDI ya shilingi bilioni 72 zilizorudishwa kutoka kwenye “chenji” ya rada zimeelekezwa kwenye kusaidia malengo ya Wizara ya Elimu na Ufundi katika kiwango cha elimu ya msingi.Hususani manunuzi ya vitabu na madawati katika shule za msingi Tanzania Bara.
Pesa hizo zililejeshwa...
Zaidi ya Apps 348 za Biblia za mitandaoni zakutwa na Vijidudu vya Kijasusi
Nyingine 54 za Quran nazo zabainika kufanya ujasusi katika nchi 36 duniani
Je Wewe ni mtumiaji wa Apps za vitabu vitakatifu (Bible na au Quran Apps)? Kama jibu ni ndiyo, unaweza kuwa mmoja wa watu ambao simu (au iPad)...
Rais Kikwete mwaka jana alifungua kiwanda cha kutengeneza bacteria kilichojengwa Kibaha kwa ajili ya kutafuna viluwiluwi vya mbu pale dawa hiyo inapowekwa kwenye madimbwi ya maji. Kiwanda hiki kiko chini ya NDC na ujenzi wake ulidhaminiwa na nchi ya Cuba na tuliambiwa uzalishaji ungeanza rasmi...
Katika eneo ambalo serikali inapoteza pesa nyingi za walipa kodi ni katika kuhudumia magari yake. Imekuwa ni jambo la kawaida sana kwa mawaziri, manaibu waziri, makatibu wakuu, wakuu wa mikoa/wilaya na wakurugenzi wa idara wanapoteuliwa kushika nafasi hizo, familia zao nao wanakuwa ni sehemu ya...
Jongo Salum (Manyaunyau)
When the election comes, this is when us witchdoctors get a lot of respect, as all these politicians come running to us.
Brutal black magic in Tanzania's election - Al Jazeera English
The long-necked elasmosaur as imagined by Anchorage-based artist James Havens, who is working with Druckenmiller to realistically interpret ancient life forms. (James Havens, courtesy of UAF)
The fossilized remains of an ancient marine reptile with an extremely long neck and paddlelike...
The Department of Homeland Security (DHS) recently claimed that a controversial new cybersecurity bill could threaten privacy protections, and this claim may return the bill to the floor of the Senate.
The Cybersecurity Information Sharing Act (CISA) suggests to grant broad latitude...
NASA scientists have discovered an Earth-like planet some 1,400 light-years away orbiting a star similar to the sun, they revealed during a press conference Thursday morning.
The newfound planet, named Kepler-452b, is the smallest planet yet discovered orbiting the habitable zone of a G2-type...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.