Asante
JF-Expert Member
- Dec 18, 2009
- 2,085
- 1,082
Kimbunga kilichoanza kujijenga katikati ya bahari ya India baada ya kimbunga Idai kupita kimepewa jina; kwa sasa kinajulikana kama Savanna cyclone.
Savanna bado hakijaanza kutembea, lakini mzunguko wake ni wa wastani wa kilomita 162 kwa saa, ambazo pepo zake zimezuia mawingu yaliyokuwa yalete mvua za masika kwa ukanda wa nchi za Afrika ya Mashariki, sasa mvua hizo zimesukumwa kuingia nchini Afrika Kusini.
Kimbunga Savanna bado hakijajulikana kitaelekea upande upi wakati kikiachiwa kitembee. Dalili za kuachiwa kwa kimbunga ni pale sehemu ya katikati ya kimbunga inabadilika rangi na kuwa nyekundu kama kunawaka moto.