Search results

  1. Rahabu

    MWALIMU WA PROCUREMENT

    Habari zenu wakuu naweza pata Mwl wa procurement huku ndani namuhitaji... anichek PM plz
  2. Rahabu

    Kanga (ndege) wenye rangi nyeupe wanahitajika.

    Kwa yeyote mwenye kanga weupe au anayeweza kunisaidia kuwapata anisaidie. Sihitaji vifaranga wadogo nahitaji wakubwa. Napatikana Ruvuma
  3. Rahabu

    Hivi Mbeya University walitoa majina

    Hali zenu waungwana nauliza mbeya majina yalitoka
  4. Rahabu

    Ni sahihi baba au mama kuvaa nguo mbele ya mtoto

    Habari wana MMU kaswali kangu ka dogo kwa wale tuliojaaliwa watoto hasa ambao bado ni under 3. Ni sahihi kujiachia mbele ya mtoto hasa ukiwa umetoka kuoga. Mfano mwanangu ana miaka2 yeye nilimfundisha kuficha (joa) nikimaanisha kikojoleo au dushelele lake siku hio nimetoka kuoga nikavaa pichu...
  5. Rahabu

    application gani nzuri ili niadownload

    jaman natumia samsang mini galaxy nauliza aplication ambayo ntadownload video,audio na pia photo editing nzuri.
  6. Rahabu

    Nahitaji kupika katresi idd msaada

    najua huku kuna wataalam kedekede nawahitaji. nawe bi farkhina njoo upande huu
  7. Rahabu

    Kati ya Mwanaume na Mwanamke yupi anaweza kukaa muda mrefu bila tendo la ndoa?

    Jamani nauliza mana nilikuta sehemu wanabishana, kati ya mwanaume na mwanamke yupi anaweza kukaa muda mrefu bira kufanya gegedo. wanaume walisema wao wanaweza na wanawake wakajinadi kua wao wanaweza swali je ni nani zaid mana humu kunawadau wengi na wenyemitazamo na mawazo tofaut mnaweza...
  8. Rahabu

    Hii ni adhabu au

    Hebu angalia mwenyewe
  9. Rahabu

    Chit!Chat

    Hapa ni kuchat2
  10. Rahabu

    Hivi party ya Jf hakuna au muda bado

    Ninahamu ya kutaka kuhudhuria japo party moja hebu waandaaji muanze michakato ya kadi za michango.
  11. Rahabu

    Housegirl

    housegirl anatafuta kazi
  12. Rahabu

    Jenifer Mgendi mkongwe wa mziki ila hajatoka

    Nimeanza kumsikia jenifa mgendi (mwimbaji wa nyimbo za injili) tokea niko mdogo sana hata shule sijaanza. Cha kusikitisha had sasa naona kama wanamuonea. Sijamsikia kwenye matamasha wakimjumuisha wala popote japokua bado anaimba.
  13. Rahabu

    Unakumbuka enzi za mdako,gololi,rede,makida,ukuti .kombolela

    Michezo hii Sidhani kama inachezwa na watoto wa kipindi hiki. Hebu 2pia mchezoambao haupo
  14. Rahabu

    SAYANSIKIMU na jukwaa la wadogo

    Salamu zije kwako me nna swali2 hivi lilejukwaa la wadogo limeishia wapi. Limeyeyuka Limefutwa kwa kukosa muendelezo Au umekua umeachana nalo
  15. Rahabu

    Niliwekewa chura kwenye papuchi il niache kukojoa

    Hakuna mkubwa humu wote Mambo. Jamani hii kweli imenitokea nikiwa na miaka kama6 hivi wakati naishi na shangazi angu R.I.P aunty nilikua kikojozi mno haipiti siku1 au2 naumwaga. siku hiyo nimelala usiku ghafla nikashtuliwa na kitu kinachezacheza kunako kiuno ile nashtuka nakuta chura mzima...
  16. Rahabu

    Unahisi mwana JF yukoje kimtazamo wako

    mf: 1. Arushaone nahic atakua ni mtu asiyenyoa ndevu. pia atakua anapenda kuvaa suti koti na suruar tofaut. 2. Mamndemi ni mmama mwenye watoto na mwenye staha ila akiwa humu anajiche2a 3 Mzizi mkavu na Mr Rocky ni wa2 wa makamo wanaejiheshimu sana 5. kiwatengu, Madame B hawa wanapenda...
  17. Rahabu

    evelyn salt naomba nikupe hata vocha ya 500

    yaan mamy najisikia raha mara nying ninapofungua post we unakua wa kwanza kuitoa topc bikra hv hebu niPM nikurushie fasta
  18. Rahabu

    jukwaa gani ambalo hujawahi kuingia

    humu kunamajukwaa tele zaid ya 40 hv jukwaa gani ambalo unalisikia ila hujawahi hata kutupa mchango wako pale. mfano wangu jukwaa la siasa, dini, kenya forum n.k
  19. Rahabu

    Farkina nipikie makange tafadhari

    plz fanya hivyo mpnz
Back
Top Bottom