Niliwekewa chura kwenye papuchi il niache kukojoa

Rahabu

JF-Expert Member
Jan 21, 2014
5,497
2,000
Hakuna mkubwa humu wote Mambo.

Jamani hii kweli imenitokea nikiwa na miaka kama6 hivi wakati naishi na shangazi angu R.I.P aunty nilikua kikojozi mno haipiti siku1 au2 naumwaga.

siku hiyo nimelala usiku ghafla nikashtuliwa na kitu kinachezacheza kunako kiuno ile nashtuka nakuta chura mzima sio mdogo sana amefungwa katika papuchi jamani

Sio utani tokea mwaka ule hadi leo ni 27 sijawahi kukojoa kitandani.
Naimani watoto wa ant kama wapo humu wataelewa ninacho sema.

we umeacha kwa stail gani
 

Swat

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
4,202
2,000
Si wote humu udogoni walikua vikojozi. Kama sasa hivi umeacha shukuru Mungu.
 

Rahabu

JF-Expert Member
Jan 21, 2014
5,497
2,000
Hakuweka ndan alifungwa miguu yote minne. Kamba ikapita kiunon yeye akaka kwa mbele
 

kiwatengu

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
15,244
2,000
Hakuna mkubwa humu wote Mambo.
jamani hii kwel imenitokea nikiwa na miaka kama6 hv wakati naishi na shangazi angu R.I.P aunty nilikua kikojozi mno haipiti siku1 au2 naumwaga. sikuhio nimelala usiku ghafla nikashtuliwa na ki2 kinachezacheza kunako kiuno ile nashtuka nakuta chura mzima sio mdogo sana amefungwa katika papuch jaman
sio utani tokea mwaka ule hadi leo ni27 sijawah kukojoa kitandani.
naiman watoto wa ant kama wapo humu wataelewa ninacho sema.

we umeacha kwa stail gani

duh kumbe umepoteza bikra yako ukiwa mdogo hivyo?
miaka 6? aisee.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom