a.rahabu samahani kwa hili nitakaloongea na kama nitakukwaza nisamehe bure, kama wewe ni mwanamke hiyo siyo tabia nzuri hujamdhalilisha huyo mwanamke tu bali ni wanawake wote,inaweza kuwa kama joke lakini siyo fair kabisa,sisi ndo tunatakiwa tuwe mstari wa mbele kwa kuonyana na si kuwekeana mapicha ya kujidhalilisha.

KaanZa kijidhalilisha yeye kwa kukubali kupiga hiyo picha