SAYANSIKIMU na jukwaa la wadogo

Rahabu

JF-Expert Member
Jan 21, 2014
5,497
2,000
Salamu zije kwako me nna swali2 hivi lilejukwaa la wadogo limeishia wapi.
Limeyeyuka
Limefutwa kwa kukosa muendelezo
Au umekua umeachana nalo
 
SAYANSIKIMU

JF-Expert Member
Feb 27, 2014
1,132
1,195
Kwahio kule jukwaan ulikua mkubwa wewe2 ndomana ukajiudhuru

Tuache hayo kwanza sasa a.rahabu mbona hutaki kunisaidia NIMEKUOMBA TUPATANISHE KATI YANGU na Dinazarde UMEKATAA .Kwa Sababu Tulikutana Na Dina Kwenye Lile Jukwaa Na Sasa Hivi Kanipiga Chini Ndio Maana Hamu Ya Kuingia Jukwaa Lile Sina.Maana nikiingia sioni mtu ambaye tunaweza kuongea kwa tafsida kama dina .Tupatanishe basi ili nipate mtu wa kustorika naye kwenye lile jukwaa lasivyo hivyo nitashinda hukuhuku.MAANA WATU WA HUKU WANAUPENDO MWINGI SIJAPATA KUUONA KATIKA MAISHA.WAMENISAHAULISHA MACHUNGU YOTE NILIYO PATA KWENYE JUKWAA LILE NIKIWA HUKU FULL AMANI tena tukistorika na nameless girl We acha tu nameless girl njoo tu storike kidogo hapa nilipo nimepoa kweli.
 
Last edited by a moderator:

SAYANSIKIMU

JF-Expert Member
Feb 27, 2014
1,132
1,195
hapo tu ndo ninapompendea huyu mwenye somo la sayansi.

Asante sana unajua inapendeza sana kupendwa humu jamvini.HIVI unajua kwamba tarehe 4/4/2014 nilishambuliwa sana,nikatemewa mate,nika aibishwa ,nika dhalilishwa kwenye jukwaa moja hivi ambalo naogopa kulitaja .na siku hiyo niliugua msongo wa mawazo siku nzima.SIKUONGEA UJINGA .Mimi Nacho Kumbuka Nilitoa Ushauri Mzuri Tu .LAKINI NILIPIGWA KAMA MWIZI VILE nilipigwa ilibaki kidogo nichanganyikiwe.Lakini nashukuru watu wa huku wanaupendo mwingi wamenipokea kwa amani na ninaishi nae vizuri tu .SIKU HIYO INANIKUMBUSHA MBALI SANA ,.Hivi wewe unajua jambo hili au haujui
 
janeth1

JF-Expert Member
Apr 4, 2014
2,149

kule huwa napita tu stii neno nilikuona sana.
 
SAYANSIKIMU

JF-Expert Member
Feb 27, 2014
1,132
1,195
kule huwa napita tu stii neno nilikuona sana.

Kwa nini sasa haukunitetea ulipo ona ninashambuliwa bila hatia .Kumbuka imeandikwa MPENDE JIRANI YAKO KAMA NAFSI YAKO .je kwa nini uliacha mpaka nashambuliwa bila kunitetea.je nilikuwa na makosa.
 
janeth1

JF-Expert Member
Apr 4, 2014
2,149
1,195
Kwa nini sasa haukunitetea ulipo ona ninashambuliwa bila hatia .Kumbuka imeandikwa MPENDE JIRANI YAKO KAMA NAFSI YAKO .je kwa nini uliacha mpaka nashambuliwa bila kunitetea.je nilikuwa na makosa.

kule sikuwezi mashushu yako njenje, jirani zangu nawapenda sana. Lakini si ulitoka nduki ukasolv tatizo.
 
janeth1

JF-Expert Member
Apr 4, 2014
2,149
1,195
uliekopa hela yangu humu ndani kwajili ya kununua kifurushi na ulidai unarudisha leo naona kimya hebu leta mahela yangu.
 
SAYANSIKIMU

JF-Expert Member
Feb 27, 2014
1,132
1,195
uliekopa hela yangu humu ndani kwajili ya kununua kifurushi na ulidai unarudisha leo naona kimya hebu leta mahela yangu.

Namba yako ya simu nimeisahau Naomba Unitumie Kwa Njia Ya PM namba yako ya simu ili ni weze kukurudishia hela yako.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom