Hivi party ya Jf hakuna au muda bado

Hivi party ya Jf hakuna au muda bado

Rahabu

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2014
Posts
5,527
Reaction score
3,345
Ninahamu ya kutaka kuhudhuria japo party moja hebu waandaaji muanze michakato ya kadi za michango.
 
Mtambuzi hebu pita huku....au dada mpenzi lara 1 anaweza kujibu....
 
Last edited by a moderator:
Msemaji mkuu Mtambuzi toa angalizo!
 
Last edited by a moderator:
Yani nina hamu ya kukuona a.rahabu unanikosha sana kule ukubwani
 
Last edited by a moderator:
Muda mrefu swahiba hv mke mwenzio yupo au mmeshindwana
 
Back
Top Bottom