Search results

  1. Phlagiey

    Polisi wa Dubai jinsi walivyotumia (Operation fox hunt 2) kumnasa tapeli nguli Mnaijeria billionaire wa Instagram mwenye ukwasi wa kusisimua

    Kwa wengi Hushpuppi alionekana kuwa ni mfano halisi wa mtu aliyefanikiwa,mtafutaji aliyezikamata pesa za kutosha na kutokuzionea huruma katika kuzitumia, kwenye akaunti yake ya instagram yenye followers million 2.4 na ikiwa na tiki ya sawati(blue) kumejaa picha za kuvutia za Hushpuppi, akiwa...
  2. Phlagiey

    Afande Sele, Urafiki wetu na wewe hauko kwenye sanduku la kura

    Uogozi siku hizi umekuwa kama fasheni ya nguo, ndiyo maana kila leo utasikia mara huyu anatanganza nia mara nitagombea ubunge,udiwani mara uraisi. Hii imekuwa kama biashara huria kwa wasaka tonge kujichangulia anapoona pata mfaa kuinusuru njaa yake, lakini kimsingi ukichunguza kiundani hauoni...
  3. Phlagiey

    Do you think that books have lost their place in our life?

    Internet is taking more and more our time ,we are forgetting books which were our friends , what do you think?
  4. Phlagiey

    Msitulaumu sana wanaume kwa tabia zetu chonzo ni hiki hapa.!!

    Kila mara wanawake wamekuwa wakilaumu na kuwaona kama wanaume siyo watu kutokana na tabia mbalimbali zinazojitokeza katika mahusin na maisha ya kawaida. Mwanaume amekuwa akiongelewa vibaya kila jina baya anaitwa, lakini pengine wanaotupa hizi lawama na kuwachukia wanaume wanashindwa kujua nini...
  5. Phlagiey

    Njooni tujipime kama kweli tunao upendo

    Daima upendo una sura mbili, japo wengi wanaijua moja wakati wa raha,faraja,kujirusha na zawadi kedekede wanaridhika na upendo huo, ila upendo unakipimo chake wakati wa shida waraha na wakati wa magonjwa wakati ambapo watu huona tabia kasoro na mapungufu yako hapo ndipo upendo hupimwa, yule...
  6. Phlagiey

    Wadada mbona kwenye hili mnajiweka nyuma kulikoni?

    Muda wingi huwa najiuliza mbona watoto wakike wanakuwa wagumu linapokuja swala la kujitegemea kimaisha kwa maana ya kupanga nyumba na kuanzisha maisha? pengine nikafikiri labda ni waoga wa maisha, lakini jibu likaja hapana maana kuna wengine unakuwa wamemaliza masomo, wanakazi nzuri mishahara...
  7. Phlagiey

    Tarehe na mwezi kama huu miaka mingi iliyopita

    Asanteni kwa kuja, siyo jambo kubwa sana ila nakumbuka tu siku ya kuzaliwa kwangu iliyo muhimu, nasema ni muhimu kwa kuwa ya kufa siijui hivyo sina budi kwendelee kuikumbuka hii ambayo ndiyo siku niliyoona uso wa dunia miaka ya nyuma huko, nilitamani kila mmoja ajue nimetimiza miaka mingapi ila...
  8. Phlagiey

    Inawezekana kuzipata hizi best top 5 WhasApp hack tools.

    Hizi software ndio zinaaminika katika mpango mzima wa ku-track WhatsApp. Stealth genie Mobile spy Mobistealth Mspy Spy bubble Swala lililopo ni kwamba zinapatikana lakini mpaka ununue, nimejaribu kuzisaka walau nipate link ambayo inawezakuwa imezitoa bure moja kati ya hizo mwisho wake...
  9. Phlagiey

    Mwanaume kwa nini tunafikiria hivi? Hii inaweza kuwa dawa ya mwanawake kweli.

    Mara nyingi faraja ya mwanaume ni kupata mwanamke alietulia katika mahusiano, inapotokea bahati mbaya akapata ambae yuko kinyume na hivyo basi huwa anatafuta njia ya kujikinga na maumivu ya kimapenzi ama kumfanya mke au mpenzi wake atulie katika mahusiano. Katika hili kila mwanaume huwa ana...
  10. Phlagiey

    Safari yangu ya kuto kumwamini mwanamke katika mahusiano ilipoanzia

    Baada ya mahusiano ya miaka minne ya uaminifu na upendo kwa binti mmoja hivi jina kapuni, ndipo safari yangu ya kuto mwamini tena mwanamke katika mahusiano ilipoanzia kutokana na kile alichonifanyia. Katika maisha yangu ya mahusino na huyo binti, nilikuwa mwaminifu sana pia nilimwamini kupita...
  11. Phlagiey

    Jamani kwakweli inauma sana usiombe yakukute, lakini utafanyaje sasa?

    ....:::Mulika mwizi wa mapenzi:::.... Walishasema vipo vya ku-share lakini sio mapenzi maneno ya wahenga hayo. Katika mahusiano ya kimapenzi hakuna kitu kinachouma kama unapogundua kuna mtu unachangia nae mapenzi kwa mtu unayempenza....HAPA LAZIMA MIGUU KUTETEMEKA KICHWA KUUMA ROHO KUDUNDA...
  12. Phlagiey

    Kuchangia hii kitu na mke/mpenzi ni sawa?

    Mapenzi Yakinoga Jamani usiombe mapenzi yakakunogea utatamani ugandane na mpenzi wako kila mahala. Katika kona kona za mapenzi mapenzi leo nimekuta na hii kitu. Mara nyingi watu wanapokuwa katika mahusiano ya kimapenzi huwa wanaaminiana kupita kiasi hata kama hawakuwahi kuchunguza afya zao...
  13. Phlagiey

    Wana MMU; Kiukweli inakera, inaudhi na inakatisha tamaa

    Kuna jambo moja naomba leo nilisema hapa. Mara nyingi tumekuwa tukikutana hapa kwaajili ya kubadilishana mawazo na kupeana uzoefu wa mambo mbali mbali tunayokumbana nayo katika maisha ya kila siku, Kiufupi ni mahala muhimu sana kutoka na uzito wa mambo yanayojadiliwa hapa, kupitia mada...
  14. Phlagiey

    Wasiwasi ndiyo akili..

    ..::Kazi kweli kweli::.. Niliwahi kusikia huu msemo sehemu fulani basi nikajua kila sehemu utakuwa na maana na ukiutumia utakufumbua macho na kukuonesha kilicho mbele yangu. Kuna wakati nakumbuka uliwahi kunisaidi sana msemo huu baada ya kuingiwa wasiwasi kwenye issue fulani hivi ambayo jamaa...
  15. Phlagiey

    Vipi anakutesa? Tumia pesa!

    ..::Kazi kweli kweli::.. Kuna jamaa yangu alikuwa ni mtu wa kubadili sana mabinti, kiukweli jamaa alikuwa anachukua mabinti wakali sana(wazuri) kwa kale katabia kake kakanifanya nitake kujua nini siri ya yeye kumilikini mabinti wazuri, ujana kweli unamambo mengi kila ukionacho wataka kujua...
  16. Phlagiey

    Taarifa nilizonazo ni kwamba, member mwenzetu eiyer a.k.a Baba paroko anaumwa

    Kwa taarifa nilizopokea masaa kadhaa yaliyo pita mpaka sasa kutoka kwa huyu member hali yake sio nzuri kiafya. Tatizo kubwa linalo mkabili ni homa, iliyo muanza usiku wa kuamkia leo. Muda huu anaendelea na matitabu lakini pia maombi yenu ni mhimu, baada ya taarifa hii natanguliza maombi yangu...
  17. Phlagiey

    Somalia yatajwa kuwa nchi mbaya zaidi duniani kwa kina mama na watoto

    Shirika la Save the Children lenye makao yake jijini London Uingereza, linakadiria kuwa wanawake 800 na watoto wadogo 18,000 hufariki kila siku duniani kutokana na sababu ambazo zinaweza kuzuwilika. Ripoti ya shirika hilo yenye kichwa cha habari cha "Hali ya kina mama wa dunia" imesema ni...
  18. Phlagiey

    Wake zetu, wapenzi wetu huwa mnatufikiria je?

    Sijui nianze kwa kusema ni wivu au ndiyo mambo ya upendo na kujali, nakosa cha kuanza nacho ila leo inabidi tu tuambizane huwa mnatuwazia nini.. Kuna katabia fulani hii kwa kiasi kikubwa wanako hawa wake zetu na wapenzi wetu. Hivi huwa mnatufikiria vipi inapotokea unapiga simu halafu mumeo au...
  19. Phlagiey

    Hiki ndicho kinacho waumiza akina dada wengi katika mahusiano...

    Kila kukicha utasikia fulani katendwa mara hivi na vile yani vagalanti patashita vilio haviishi kila siku. Kuna jambo ambalo lina wagharimu wengi mnapoingia katika mahusiano, mnajenga matalajio makubwa pasipo kujua unaeingianae katika mahusiano ana malengo gani na wewe, kuna wengine huwa...
  20. Phlagiey

    Somo(1) marekebisho ya mic katika simu..

    Kwa kuanza kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, nitakuwa natoa hapa elimu juu ya marekebisho ya simu(phone repair) aina zote, mafunzo yangu yakuwa yanaegemea zaida kwenye katika matatizo ya hardware. Nitatoa ufafanuzi wa matatizo mbali mbali katika simu na kuyatolea maelekezo ya amna...
Back
Top Bottom