Inawezekana kuzipata hizi best top 5 WhasApp hack tools.

Phlagiey

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2013
Posts
3,500
Reaction score
1,688
Hizi software ndio zinaaminika katika mpango mzima wa ku-track WhatsApp.

  • Stealth genie
  • Mobile spy
  • Mobistealth
  • Mspy
  • Spy bubble

Swala lililopo ni kwamba zinapatikana lakini mpaka ununue, nimejaribu kuzisaka walau nipate link ambayo inawezakuwa imezitoa bure moja kati ya hizo mwisho wake sijafanikiwa, kama kuna anaweza kufahamu website inanyotoa bure anisaidie link.
 
Hizo kuzipata bure si rahisi, kuna moja niliiona ila inaizwa kwa bei ya $130 hivi.
 
Mkuu ipo ya bure sema simu lengwa lazima iwe rooted
https://mobile-tracker-free.com/index.php?_e_pi_=7%2CPAGE_ID10%2C8601480770
 
Hizi software ndio zinaaminika katika mpango mzima wa ku-track WhatsApp.

  • Stealth genie
  • Mobile spy
  • Mobistealth
  • Mspy
  • Spy bubble

Swala lililopo ni kwamba zinapatikana lakini mpaka ununue, nimejaribu kuzisaka walau nipate link ambayo inawezakuwa imezitoa bure moja kati ya hizo mwisho wake sijafanikiwa, kama kuna anaweza kufahamu website inanyotoa bure anisaidie link.

Mkuu naon umeamua kujilipua ha ha ha ha ha ntakuja kwenye yoweeeeee.
 
We ndo umevamia!

Hivi kweli wewe unajua maana software?

Inashangaza mwanauma mzima jinsi unavyopenda kujadili maisha ya watu, sasa issue za ezden na dida zimefuata nini huku? rudi celebrities forums huko ndio kuna wenzako, acha ubishi huku umeingia chumba cha wataalam
 
Ubaya wa hiyo ni huu hapo
(1) Mpaka uroot simu unayotaka ku-track
(2)Unatumia free siku 7 baada ya hapo unatakiwa ulipie.
(3)Lazima uinstall kwenye simu unayotaka ku-track
(4)Sidhani kama inaweza ku-track namba zaidi ya moja
1>As far as i know hakuna app inayoweza kutrack the non-default applications such as WhatsApp,Facebook,Viber,Skype nk without rooting
2>Link niliyokupa ni free kabisa sema kunabaadhi ya mambo wanabana lakini vitu basic vyote unapata ikiwemo whatsapp
3>Hakuna app ulioitaja hapo juu ambayo inaweza kutrac simu husika bila kuinstall kwenye simu husika
4>Inawezekana

Mkuu hii app ni kama wanaifanyia promo na inafanya kazi kama hizo ulizozitaja, zinazidiana ubora na vitu vidogovidogo sana lakini vya msingi vyote unapata
Kwa android rooting ni lazima ili kutrack whatsapp, kuna mtu aliitaka Stealth genie tukahangaika tukailipia mwisho wa siku ikatakiwa rooted Android kutrack whatsapp

Zamani kidogo Mspy ilikua free kama hii niliokupa ilipopata watumiaji wengi ikaanza kuuzwa......soon na hii itauzwa rasmi with no trial
 
Ku root ndio kufanyaje..sorry
 
Ku root ndio kufanyaje..sorry

Kuitoa simu yako katika mpangilio wa kawaida ambao simu imekuja nao na kuweka upya application unazozipenda wewe mwenyewe.

Vile vile ku-root kunafanya simu yako kuwa huru kupokea application yoyote unayohitaji kuinstall, ambazo ni lazima simu yako iwe rooted.

Mfano.
(1)Screen shot
(2)Spy software
(3)Games n.k

Kuna baadhi ya application hauwezi kuinstall kwenye simu yako kama hauija-root, hivvo kwa kuiroot simu yako kutakupa uhuru wa kupokea aina zote za application, lakini pia kunakusaidia kutoa ile milio ya camera na ile ya kuwasha na kuzima kwa simu ambazo hakuna sehemu ya ku-swich off, bila kusahau inakuongezea internal space baada ya kutoa application zilizokuja na simu ambazo hauzitumii katika simu yako.

Hii ni maalum kwa simu za smartphone, ni nzuri na kama unajua umuhimu wake na faida zake, lakini pia ni rahisi sana kuua simu yako kama haujuia jinsi ya ku-root

CC Remote
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom