Search results

  1. msumeno

    International Rescue Committee ( IRC) Jobs Urgent required

    Waungwana nimeruhusiwa na HR wa IRC ku share Positions hizi kwa wale wanataka kufanya nao kazi DR Congo kwenye Emergency ya Ebola. Angalizo: Hakuna Malipo na wala usini PM apply online , pia French is a MUST asante IRC DRC is prepositioning itself in response to several Ebola outbreaks...
  2. msumeno

    Waso asili na Kiswahili wakipenda sana kuliko sisi waswahili?

    Congo wajivunia sana Kiswahili , Kinshasa ukiwa mswahili wathaminiwa hasa, na utapata marafiki wengi tu. Uganda wakitamani lakini kinawagonga kweli weli na ukikiongea hukosi mwali. Wenzetu wakenya wanalijua hili na ukikutana na Mkenya Nje ya East Africa hata ona haya kuongea nawe kiswahili...
  3. msumeno

    Wenyeji wangu Kuaga Maiti hotuba masaa sita?

    Tembea uone. By the way naheshimu sana mila za watu nawezka hili wazi kabisa. Ila kuna mengine da!! wenyeji wangu hapa nilipo ukialikwa kwenye msiba jiaandaee. Mwili unatolewa Mochwali na kupelekwa nyumbani kuangwa , huko sasa hotuba zinaanza kila mwanafamilia lazima aseme neno, majirani nao...
  4. msumeno

    East Africa prominent Musician suggested to undergo Vasectomy!!

    This morning was listening to a Radio here and presenters humorously suggested that our prominent musician should undergo vasectomy. By the way Doctors is the Vasectomy safe? this is the point to discuss and not the heading
  5. msumeno

    Mnaochukua kozi za Parmacy, Medical Logistics/Procurement njooni hapa tuulizane

    Hebu tukutane hapa tunaosoma hizi kozi au tuliomaliza hivi karibuni tupeane msaada jinsi mnavyoweza/mliweza kupata data hasa kwenye mitandao hasa ya serekari kama TFDA, MOH, MOF , au WHO, na World bank. kwa maana kuna baadhi ya maswali unabidi uende kwenye vitengo husika ( online ) ili uweze...
  6. msumeno

    Israel kuwatimua wahamiaji ''haramu'' 16000 wa kiafrika

    Taifa teule la Israel limebadilisha mpango wake wa awali wa kuwarasimisha wahamiaji 16000 wa kiafrica!! sasa wakimbizi hawa watatakiwa kuondoka kwenda nchi zingine , imedhaniwa kuwa ni Uganda au Rwanda au zote kwa pamoja!! Habari hii kwa mujibu wa vyombo mbali mbali ikiwemo BBC asanteni kwa...
  7. msumeno

    Big Foot real exists au myth tu

    Mimi ni mpezi wa kipindi cha discovery channel , kuna kipindi wanaonesha wanasayansi wakimtafuta kiumbe mfano wa Sokwe anaeitwa Big foot ( unyayo mkubwa) huyu mnyama wanasema anapatikana huko America ... lakini hawajawahi kumkamata japo natives na wakulima kadhaa wamesema wamepata kumuona...
  8. msumeno

    Shea Butter kwa mwenye kuhitaji ( bulk order) tuwasiliane

    Waungwana nina mzigo wa shea butter kutoka West and East africa iliyosindikwa na virgin haijachanganywa na kitu chochote ( pure ) tuwasiliane
  9. msumeno

    Baba anaapa kumlinda mama, watoto hali kadhalika?!!

    Baada imekua miaka mingi toka baba aende mbele ya haki, mama aliumia sana na kujiapiza kuwa hatakua na mume wa kudumu , ataolewa kwa miaka 10 tu na kupata mume mwingine ( baba). Utaratibu huu wa kumpata baba mpya uliafikiwa na wananzengo wote pamoja na watalaka wa mama ambao wamekua sehemu ya...
  10. msumeno

    Tulioishi au kufika DR Congo , Goma, Bukavu, Lubumbashi, nk tukutane hapa

    Bandeko , wale tulioishi DR Congo tukutane hapa , pia eleza maeneo uliyofika/ishi. nitaaza mimi, Nimeishi Goma, nikafika Beni, Butembo, Mbuyimayi, Uvira, Kirumba, Kayina, Rubero Bukavu na Kinsasha ( KIN) pale Gombe. Maisha ya DR Congo yana tamu na chungu, ila ila kiukweli Congo kuzuri sana...
  11. msumeno

    Utalii wa Dar Es Salaam, nina mgeni

    Waugwana tupumzishane kidogo na mambo ya politik Nina jamaa yangu tunafanya kazi nae hapa, anataka kwenda Tanzania, ( kwetu) na kutembelea Zanzibar na Dar, Kwa Zanzibar nina mtu tayari wa kumpokea na kumtembeza, naomba wale wa Dar hasa wenye vikampuni vichanga wanaweza kuwasiliana na mimi ...
  12. msumeno

    Taswira za wana JF , imaginary ghost?

    Tunafahamiana , tumezoeana na ikitokea akakosekana mtu humu kwa muda mrefu tunaulizana huyu miss chagga mbona hapatikani JF? au waungwana Miss Bantu au MziziMkavu siku hizi hatumuoni humu kulikoni? na kiukweli kabisa tunafahamiana kama ma ghost maana kila mtu ana taswira yake ndio maana...
  13. msumeno

    Wakenya wanajivunia Kiswahili kuliko ''watanzania''

    Wakuu msiniulize takwimu, ila ki ukweli na wengi wenu mliojaaliwa kusafiri safiri kama mimi mtakubaliana na mimi kwamba, Wakenya wanajivunia sana Kiswahili sana kuliko sisi waTZ tena hawaoni soni kukizungumza hasa ughaibuni. Na hii haijalishi kama mtu ni msomi au la! tofauti na hapa kwentu ...
  14. msumeno

    Hakuna ajuae 2020 siasa zitakuwaje, tupige kazi tu

    Nadhani nina tatizo la kuzielewa siasa za nchi yangu pendwa, lakini kiukweli kwa upepo huu unaovuma sidhani kama kuna mtu awaye yeyote yule anaejua nini kitatokea mwaka huo nilioutaja hapo juu. Nani atakua mgombea kwa tiketi ya chama gani. Ukiachana na CCM sidhani kama vyama vilivyobakia wana...
  15. msumeno

    Humanitarian aid workers tukutane hapa!!

    Humanitarian aid workers tukutane hapa , ili ku-share experiences ya chungu na tamu tulizokutanan nazo fields. iwe ndani au nje ya nchi..... fields kama South Sudan, Iraq, Yemen, Bangladesh, Burundi, Uganda, Tanzania, na Nigeria n.k. najua mko humu. lakini mwisho kabisa tusiache kutupia hapa...
  16. msumeno

    Je, kuna Umri wa kisheria wa betting?

    A nine year old boy from Mtondia, Kilifi County will not celebrate his tenth birthday after he committed suicide because he lost in a gamble with his friends. Kilifi police boss Alexander Makau said the boy hanged himself after he failed to contain his anger after he lost his cashew nuts. ...
  17. msumeno

    Wanaume above 40s tupime prostate cancer

    Waungwana huu ugonjwa sio mchezo kwa watu wazima, tuende kupima na wala msiogope kupima ni damu tu inachukuliwa na sio yale mambo ya vidole.... ukiwahi matibabu ni bira zaidi Nyuzi kama hizi wachangiaji huwa wakutafuta kwa tochi, lakini nimewakilisha. Kesho Insha Aallah nakwenda pima liwalo na...
  18. msumeno

    Nimepata soko la Asali nje natafuta mtu wa ku-partner

    Waungwana, nimepata soko la ''organic honey'' inayopatikana hasa Tanzania natafuta mtu wa ku-partner awe na kampuni yenye business profile na certified ya TFDA Please inbox
  19. msumeno

    Msaada wa Kisheria nataka kusajiri Kampuni

    Waungwana japo tunasimazi lakini lazima maisha yaendelee, nataka kusajiri kampuni hii ni pampja na Kutayarisha company profile, MoU na megine yanayohusiana na haya, mwenye utaalam huu tafadhari sana tuwasiliane
  20. msumeno

    Kwa anaejua soko la asali ghafi ( raw organic honey) UAE au Qatar tujuzane

    Nina Asali ya Tabora, ghafi ( Mbichi) tujuzane masoko ya UAE na Qatar au nchi zingine na mashariki ya kati. Asante sana
Back
Top Bottom