Mnaochukua kozi za Parmacy, Medical Logistics/Procurement njooni hapa tuulizane

msumeno

JF-Expert Member
Aug 3, 2009
2,827
1,729
Hebu tukutane hapa tunaosoma hizi kozi au tuliomaliza hivi karibuni tupeane msaada jinsi mnavyoweza/mliweza kupata data hasa kwenye mitandao hasa ya serekari kama TFDA, MOH, MOF , au WHO, na World bank. kwa maana kuna baadhi ya maswali unabidi uende kwenye vitengo husika ( online ) ili uweze kujibu ''kozi weki'/assignment. kwa mfano kuna anejua....

. Per capita spend on medicines in Tanzania? kumbuka swali hili siulizi per capita spend on health . shida hapa ni kujua kiasi gani nchi ilitenga kwa kila raia kwa dawa .. essential medicines.

Na wewe ukiwa na swali lolote kuhusu taaluma hizi liweke hapa tuchangie/tusaidiane
ukiwa na jibu weka na chanzo

Hapa hatuzungumzii siasa , tunasaidiana akina memkwa!!!. wewe kama mwanapolitik unajua tusaidie tu bila kuingiza politik zako hapa.
 
Noooma
 
Back
Top Bottom