Utalii wa Dar Es Salaam, nina mgeni

Utalii wa Dar Es Salaam, nina mgeni

msumeno

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2009
Posts
2,826
Reaction score
1,738
Waugwana tupumzishane kidogo na mambo ya politik

Nina jamaa yangu tunafanya kazi nae hapa, anataka kwenda Tanzania, ( kwetu) na kutembelea Zanzibar na Dar, Kwa Zanzibar nina mtu tayari wa kumpokea na kumtembeza, naomba wale wa Dar hasa wenye vikampuni vichanga wanaweza kuwasiliana na mimi , huyu jamaa yang anataka kua Dar terehe 1st April akitokea Zanzibar na ataondoka hapo tarehe 03 April kurudi huku kinachotakiwa Hotel cheap and safe maeneo ya city centre hasa Jamhuri street na kumtembeza maeneo pendwa hapo dar

Budget yake finyu , ila akipenda huduma anaweza kukuletea biashara maana ana contacts kibao , sio mfanyabiashara
 
Back
Top Bottom