Search results

  1. Remmy

    Mayai ya kenbro na kuroiler.

    Tunauza mayai ya chotara kuku aina ya Kenbro na Kuroiler, trei moja shilingi 13,000 tunapatikana Mbezi Makabe. Kwa mawasiliano 0658961096.
  2. Remmy

    Tunauza mayai ya chotara kuku aina ya Kenbro na Kuroiler

    Tunauza mayai ya chotara kuku aina ya Kenbro na Kuroiler, trei moja shilingi 13,000 tunapatikana Mbezi Makabe. Kwa mawasiliano 0658961096.
  3. Remmy

    Tunauza mayai ya kuku chotara

    Tunauza mayai ya chotara kuku aina ya Kenbro na Kuroiler, trei moja shilingi 13,000 tunapatikana Mbezi Makabe. Kwa mawasiliano 0658961096.
  4. Remmy

    Kukakamaa kwa misuli ya miguu

    Habari zenu wapendwa. Naomba kusaidiwa, nimepatwa na tatizo la kukakama kwa misuli ya miguu na paja, nyakati za alfajiri ninapokuwa kitandani, yaani mfupa unakakamaa au kupinda na kusababisha maumivu makali, kuna wakati mpaka natoa machozi. Imenitokea kwa Mara ya pili sasa, Mara ya kwanza mwaka...
  5. Remmy

    Mayai trek 10 kwa siku yanahitajika.

    Wadau wafugaji salamu zenu. Kuna mtu anahitaji kupata mayai ya kisasa kila siku trei 10. Kwa mwenye uwezo anitaarifu tafadhali. Mhitaji yupo Dar es salaam Kimara.
  6. Remmy

    Kiwanja kinauzwa

    Kiwanja kinauzwa kipo Mbezi Makabe, hakijapimwa, ukubwa ni 22*23 bei ni Tsh 8M maelewano yapo. Piga simu 0713694820/0685396859.
  7. Remmy

    Majogoo chotara wanauzwa

    Karibuni mnunue majogoo wa chotara wakubwa bei ni tsh 23,000 tu. Wanafaay kwa mbegu, kwa kuliwa, wana supu nzuri. Kwa wakazi wa dar utafikishiwa ulipo Piga 0713694820 kwa oda. Karibuni sana.
  8. Remmy

    Mayai ya Kuku weusi chotara yanauzwa

    Kwa anayehitaji mayai ya Kuku weusi chotara yanauzwa piga namba 0713694820 kwa kuagiza tupo dar, utaletewa hapo ulipo kwa wakazi wa dar. Yanafaa kwa kukutotolesha pia. Kwa wale watotoleshaji wanakaribishwa sana.
  9. Remmy

    Kupotea kwa baadhi ya Nyaraka za Tume ya maoni ya Katiba

    Imefahamika kuna baadhi ya nyaraka ( supporting document) kwaajili ya maoni ya wananchi zimefichwa ili kutudanganya watanzania na kuituhumu tume kuwa imechakachua maoni ya wananchi. Najiuliza kulikuwa na ulazima kukubali kuanza kuunda katiba mpya? Hadaa hii ni kwa faida gani?
  10. Remmy

    Msaada tutani: Pikipiki ipi ni bora kwa biashara

    Habari zenu wakuu! Tafadhali naomba msaada wa kujuzwa Ni aina ipi ya pikipiki(bodaboda) inafaa kwa biashara ya bodaboda, ukiangalia uimara, matumizi mazuri ya mafuta na mambo mengine. Nataka kuanza biashara hii sasa nataka niingie nikiwa kamili, nisjute baadae kwa wrong choice...
  11. Remmy

    Kiwanja kinauzwa Mpiji Kibini

    Kiwanja kinauzwa Mpiji Kibini, nje kidogo ya jiji la Dar es slaam Kinatoa vipande vya 20*20 vipande 16 na kila kipande ni Tsh 1.5M tu. Kwa anayetaka awasiliane na namba hii 0768190339
  12. Remmy

    Karibuni kwenye Kumbukumbu ya Regia

    Siku ya Jumatatu; tarehe 14 January 2013 ni siku ambayo Regia Mtema Foundation imeitenga maalumu kwa ajili ya kumbukumbu ya Regia Mtema. Katika siku hii maalumu wote mnakaribishwa Peacock Hotel ambako kutakuwa na maada mbalimbali zitakazowasilishwa na kujadiliwa kama alivyozisimamia Regia...
  13. Remmy

    Mwaliko toka kwa miss chitchat

    Wapenzi wanachitchat, salamu katika bwana! Yule miss wenu wa mwezi septemba ndio anakamilisha muda wake, hivi karibuni atakabidhi taji kwa mwingine Kama sio Madame B. Ikumbukwe kuwa wakati anaomba ushindi alitoa ahadi zake, hivyo basi ameona vyema asiwe Kama magamba wa kutoa ahadi...
  14. Remmy

    Ushindi wangu!

    Wapenzi wote wa chitchat Awali ya yote napenda nitoe shukrani zangu za dhati kwa shindano hili, kwa wapiga kura wote. Shukrani za kipekee ziende kwa barafu wa Moyo wangu ErickB52 kwa kuwa nami bega kwa bega katika kuhakikisha ninashinda, love you so much my hubby! Sitamsahau kamwe kwa kazi...
  15. Remmy

    Kwa ataayenipigia kura, donge nono kutolewa.

    Wanachitchat Mie ni mgombea wa miss chitchat though ni mrs ErickB52 tayari. Naombeni kura zenu, hakika nawaahidi donge nono, free full Internet, parties kwa sana, bia na nyagi za kufa mtu, nyama ya digidigi kutoka kule Mofu,nitamleta mrembo Wema Spade live humu chitchat, shehe Ponda, Mwigulu na...
  16. Remmy

    Kuteremshwa(kushuswa)kwa mishahara, inakubalika kisheria?

    Tafadhali wanasheria tunaomba msaada hapa. Kuna jambo limetokea kwa ngazi moja ya ajira serikali kuu. Awali ngazi hii ilikuwa ya kimadaraka zaidi hivyo MISHAHARA ilikuwa mikubwa kulinganisha na kazi zingine. Ilipofika mwaka 2003 ngazi hii ilirudishwa kuwa Kama utumishi wa kawaida ila sijui ni...
  17. Remmy

    Vaginal fungi infection.

    Habari Wana JF Doctor. Naomba msaada wenu please. Nimekuwa Na tatizo la mara kwa mara la kuwa attacked Na vaginal fungi, haipiti miezi Sita, sijaumwa, now nimechoka sana. Nimeenda jana kwa doctor Mvungi kupima magonjwa ya ngono yote niko negative...
  18. Remmy

    Kuliokoa taifa twahitaji wanaharakati, si vyama na wanasiasa

    Kwanza niunge mkono hoja ya mwandishi Joseph Mihangwa kwenye gazeti la Raia Mwema la Septemba 7. Ni kweli watanzania kwa hali tuliyofikia hatuwahitaji tena wanasiasa katika kuleta maendeleo bali wanaharakati, nina nukuu maneno yake machache mwandishi, anasema "Viongozi wetu wamekubuhu kwa...
  19. Remmy

    Msaada wa biashara gani inafaa

    Wakuu, Awali ya yote nawasalimu kwa jina la bwana! Tafadhali naomba mawazo na uzoefu wenu katika biashara, ni ipi ya kufanya. Nina mtaji wa 4M tu nataka nifanye biashara nami nijikwamue kwenye huu umaskini, biashara ya kuku wa kienyeji hiyo ipo out of this, kwani najua naweza anza hata na...
  20. Remmy

    Bunge la tanzania

    Wana JF, salaamu. Kwa hali inavyoendelea bungeni, mimi na mtazamo huu, Wabunge wetu wanawakilisha vyama vyao, na si maslahi ya wananchi, kwa jinsi bunge linavyoendelea, wabunge hujadili hoja kutokana na uvyama hata kama kuna ubaya au uzuri gani wa hoja husika. Mfano, wa cdm akisema pendekezo...
Back
Top Bottom