Uko.mkoa gan mrRemmy, post: 15057450, member: 16543"]Wadau wafugaji salamu zenu. Kuna mtu anahitaji kupata mayai ya kisasa kila siku trei 10. Kwa mwenye uwezo anitaarifu tafadhali.
Mbona tangazo hujaweka inbox?Kama unayosema, nikufwate inbox
Ninayo mayai ya kisasa. Nipigie 0788407407Wadau wafugaji salamu zenu. Kuna mtu anahitaji kupata mayai ya kisasa kila siku trei 10. Kwa mwenye uwezo anitaarifu tafadhali.
Mhitaji yupo Dar es salaam Kimara.