Remmy
JF-Expert Member
- Jun 9, 2009
- 4,701
- 1,802
Habari zenu wapendwa.
Naomba kusaidiwa, nimepatwa na tatizo la kukakama kwa misuli ya miguu na paja, nyakati za alfajiri ninapokuwa kitandani, yaani mfupa unakakamaa au kupinda na kusababisha maumivu makali, kuna wakati mpaka natoa machozi. Imenitokea kwa Mara ya pili sasa, Mara ya kwanza mwaka jana Kama miezi ya sita na tano hivi, baadae ikaacha, ila sikupata tiba yoyote, sasa naona imeanza tena majuzi, kila asubuhi.
Naomba kujua ni ugonjwa gani huu na tiba yake ni nini?.