Ushindi wangu!

Remmy

JF-Expert Member
Jun 9, 2009
4,701
1,799
Wapenzi wote wa chitchat
Awali ya yote napenda nitoe shukrani zangu za dhati kwa shindano hili, kwa wapiga kura wote.
Shukrani za kipekee ziende kwa barafu wa Moyo wangu ErickB52 kwa kuwa nami bega kwa bega katika kuhakikisha ninashinda, love you so much my hubby! Sitamsahau kamwe kwa kazi nzuri Kamanda Nicas Mtey kwa kuhakikisha kambi inashinda, Asante sana kamanda jopo letu la mapambano la kule Tanuruni linaendelea, pamoja sana! Madabily JR shukrani sana, umejitoa kwa dhati katika kampeni na mpaka tumeshinda, pamoja sana kamanda! Shukrani kwa woteeeee. Sasa ni wakati wangu wa utekelezaji.
Shukrani za dhati ziende kwa muandaaji wa shindano Ruhazwe JR kwa kuandaa shindano hili na umekuwa ukiwasisitiza watu wakapige kura, Asante sana, nasubiri zawadi yangu.

Niseme kuwa kwangu Mimi zoezi hili lilikuwa na maana kubwa sana, sijachukulia Kama chitchatting Bali nimefanya Kama uwanja wa field(mazoezi)towards uchaguzi wa kweli 2015. Awali nilikuwa najua siwezi kushinda na wala sikustahili kushinda kuwa miss chitchat kwa sababu moja Mimi sipo sana chitchat na wala huwa sianzishi threads kabisaa, infact Charminglady alistahili kutwaa taji, nikasema ngoja nione nguvu ya kampeni.
Kuna watu hata hawakuwa na mpango wa kupiga kura mfano babu Aspirin lakini nilimwomba na akanipigia kwenye mchujo wa kwanza, wapo wengi wa mfano huu. Sasa nimeridhika na nguvu ya kampeni najipanga kwa harakati mpaka kieleweke.
Pamoja sana, aluta continua!
 
Remmy mbon imesahau kunishukuru? Lol hata ivo nilielewa mkakati wako mapema si unajia tena! All the besy nasubiri ahadi tu
 
Last edited by a moderator:
Me sikukupigia kura lakini kwa kuwa umeshinda nakupongeza sana na naahidi kukupa ushirikiano kwa muda wote wa mwezi sept. Bravo!
 
" Shukrani za pekee ziende kwa barafu wa moyo wangu ErickB52"
Preta njoo tueleze mpo wangapi au B52 kakupiga changa la macho.?..
 
hi kesi ya ndugu yangu Erickb52 kuwa na mitaala sijui tunaisolve vipi!
 
Last edited by a moderator:
Kwaa niaba ya wadhamini na waandaji wa shindano la ma-miss chitchat (UMOJA WA WANA BAN -UWB),Tunazipokea shukrani zako.Tutanakutakia kila la kheri kutekeleza ahadi zako

Imetolewa na,
Mkurugenzi wa UWB,
Idara ya mashindano ya miss chitchat, Ruhazwe JR
 
Last edited by a moderator:
Wapenzi wote wa chitchat
Awali ya yote napenda nitoe shukrani zangu za dhati kwa shindano hili, kwa wapiga kura wote.
Shukrani za kipekee ziende kwa barafu wa Moyo wangu ErickB52 kwa kuwa nami bega kwa bega katika kuhakikisha ninashinda, love you so much my hubby! Sitamsahau kamwe kwa kazi nzuri Kamanda Nicas Mtey kwa kuhakikisha kambi inashinda, Asante sana kamanda jopo letu la mapambano la kule Tanuruni linaendelea, pamoja sana! Madabily JR shukrani sana, umejitoa kwa dhati katika kampeni na mpaka tumeshinda, pamoja sana kamanda! Shukrani kwa woteeeee. Sasa ni wakati wangu wa utekelezaji.
Shukrani za dhati ziende kwa muandaaji wa shindano Ruhazwe JR kwa kuandaa shindano hili na umekuwa ukiwasisitiza watu wakapige kura, Asante sana, nasubiri zawadi yangu.

Niseme kuwa kwangu Mimi zoezi hili lilikuwa na maana kubwa sana, sijachukulia Kama chitchatting Bali nimefanya Kama uwanja wa field(mazoezi)towards uchaguzi wa kweli 2015. Awali nilikuwa najua siwezi kushinda na wala sikustahili kushinda kuwa miss chitchat kwa sababu moja Mimi sipo sana chitchat na wala huwa sianzishi threads kabisaa, infact Charminglady alistahili kutwaa taji, nikasema ngoja nione nguvu ya kampeni.
Kuna watu hata hawakuwa na mpango wa kupiga kura mfano babu Aspirin lakini nilimwomba na akanipigia kwenye mchujo wa kwanza, wapo wengi wa mfano huu. Sasa nimeridhika na nguvu ya kampeni najipanga kwa harakati mpaka kieleweke.
Pamoja sana, aluta continua!

Hongera kwa ushindi. Ila usisahau
 
Kwaa niaba ya wadhamini na waandaji wa shindano la ma-miss chitchat (UMOJA WA WANA BAN -UWB),Tunazipokea shukrani zako.Tutanakutakia kila la kheri kutekeleza ahadi zako

Imetolewa na,
Mkurugenzi wa UWB,
Idara ya mashindano ya miss chitchat, Ruhazwe JR

Asante sana mkurugenzi!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom