Search results

  1. Eqlypz

    Jambo Chat mpo?

    Hawa wengi uliowataja wamerudi bongo, mfano Kakapoa, Opra, Adnaboy. Baadhi ya wengine uliowataja wako kwenye social networks. Wengine ata sijui wameishia wapi. Mkizungumzia totoz mnanikumbusha watoto wa Milton Keynes na Reading hahaha!!! ukiingia usiku mnene BST basi unawakuta online wanasogeza...
  2. Eqlypz

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Hao Swansea msimu uliopita si waliwafunga and played you guys out of the park?
  3. Eqlypz

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Huu mwaka wa 15 sasa, people writing Manchester United off ata kabla kipenga hakijapulizwa.
  4. Eqlypz

    Walinzi wa viongozi (mataifa mbalimbali) reconstructed

    Walinzi wa papa au Swiss Guard wanabeba Sig Sauer P220, SG 550, SG 520, Glock 19, HK MP5A3 na MP7A1.
  5. Eqlypz

    Walinzi wa viongozi (mataifa mbalimbali) reconstructed

    Kuna mtu anajua kwa nini silaha za walinzi wa Israel zina strips za njano kwenye barrels? Identification purposes?
  6. Eqlypz

    Madawa ya Kulevya: Alivyotoroshwa Nurdin Akasha

    Aliyekamatwa Tanzania ni Nurdin Akasha ambaye ni mtoto wa Ibrahim Akasha kutoka kwa mke wake wa kwanza anayeitwa Karama. Kwa kweli sijui kama kuna Akasha yoyote anayeishi Tanzania, labda wawe wanakuja kufuatilia biashara zao maana madawa yao mengi wanayasafirisha kwa magari kwenda kusini mwa...
  7. Eqlypz

    Madawa ya Kulevya: Alivyotoroshwa Nurdin Akasha

    Hawa jamaa watakuwa walitengeneza maadui wengi, kwa hiyo jamaa wanalipa kisasi tu.
  8. Eqlypz

    Madawa ya Kulevya: Alivyotoroshwa Nurdin Akasha

    You are right, Nurdin ni mtoto wa Ibrahim. Mara ya mwisho huyu Nurdin alikuwa anagombana na ndugu zake kuhusiana na urithi wa mali za baba yake.
  9. Eqlypz

    Walinzi wa viongozi (mataifa mbalimbali) reconstructed

    Hizo herufi za license plate zina maana gani?
  10. Eqlypz

    Madawa ya Kulevya: Alivyotoroshwa Nurdin Akasha

    Nurdin Akasha ni mtoto wa Ibrahim Akasha kutoka kwa mke wake wa kwanza aliyekuwa anaitwa Karama (alifariki 2007), Kulikuwa na Kamaldin huyu alipigwa risasi mwaka 2002, Baktash (mtoto wa mke wa pili anayeitwa Fatma), Tinta (mama yake ndio alikuwa na Ibrahim wakati anapigwa risasi) kuna mwingine...
  11. Eqlypz

    Madawa ya Kulevya: Alivyotoroshwa Nurdin Akasha

    Mkuu story yako umeitia chumvi kidogo. Ibrahim Akasha alikuwa ni supplier wa madawa kwa ndugu wawili waliokuwa wanaishi Netherlands Magdi Barsoum na Mounir Barsoum, hawa ndugu wawili wakawa wanauza madawa kwa jamaa anaitwa Sam Klepper. Ibrahim Akasha alienda Amsterdam kufuatilia malipo yake...
  12. Eqlypz

    Madawa ya Kulevya: Alivyotoroshwa Nurdin Akasha

    Aliyekuwa gunned down in Netherlands alikuwa anaitwa Ibrahim Akasha sasa sijui kama ni mtu mmoja alibadilisha jina au ni ndugu.
  13. Eqlypz

    Walinzi wa viongozi (mataifa mbalimbali) reconstructed

    Mkuu nimezi enlarge.
  14. Eqlypz

    Ombi kwa Kikwete: Pangua timu yako ya usalama...

    Seems like vyombo vya ulinzi na usalama vya Tanzania vina-operate kama bado viko kwenye zama za Cold War, havijabadilika kwendana na threats/mahitaji ya karne ya 21.
  15. Eqlypz

    Watanzania wafika Sayari ya Mars

    Ningependa kujua wametumia usafiri gani kwenda/kuzunguka sayari ya Mars, maana mara ya mwisho chombo kilichoenda na kutua Mars ni Curiosity (Mars Rover) na ilikichukua icho chombo miezi tisa na kusafiri umbali wa 563,000,000 km. Vyombo vingine vinavyozunguka sayari ya Mars ni Mars Odyssey, Mars...
  16. Eqlypz

    Walinzi wa viongozi (mataifa mbalimbali) reconstructed

    Huyu Ahmadenijad kelele zote anatumia magari ya wamarekani?
  17. Eqlypz

    CIA Director David Petraeus Resigns due to Extramarital Affair

    Hii kesi kiboko, kumbe huyo anonymous FBI agent ambaye alianzisha uchunguzi dhidi ya email za Broadwell alishawahi kumtumia Jill Kelley picha akiwa hajavaa shati
  18. Eqlypz

    CIA Director David Petraeus Resigns due to Extramarital Affair

    Hii issue ya Petreaus inachukua sura mpya, naona sasa wameanza kumchunguza Gen. John Allen
  19. Eqlypz

    CIA Director David Petraeus Resigns due to Extramarital Affair

    Cue the 'All In' jokes, Gen. Petraeus naona aliamua kujiuzulu mapema kabla FBI hawajamwaga mchele maana wao walikuwa wanachunguza kesi nyingine ndio wakagundua hiyo issue ya extra marital affair.
  20. Eqlypz

    Photographers' Corner

    Natumia effect ya drop shadow kwenye photoshop.
Back
Top Bottom