Jambo Chat mpo?

Miss_Jambo nae alikuwepo,Madonna,Shaheen, Miss_France
Kakapoa a.k.a Mtoto wa Kishua sijui kama bado yupo au alishadedi na ngoma, Riyami alikuja kuukwaa Umod,Iceberg mzee wa Man Utd a.k.a Snowman dah ilikuwa Raha,Ahlen,DLADLA a.k.a Bom,Blackmanmen Jina Gumu la huyu Mzee,Kishuna,Candy1,Zidane,Mussa Mabungo Pazi ,Kuna watu tulishaonana kabisa kitaani, Bila Kumsahau Mchizi ADnABoy, TZBoy, Oprah,Mwancity,Suzzan na Wengi sana nakumbuka enzi zile oi....Mzee wa Totoz NasDaz nundas
kwakwaaaawakwaaakwaaakwaa!!! Mkuu wangu husahau tu, manake wengine tushakua hivi sasa na ile mambo ya totoz hapa hatunayo kabisaaaaa!!! Yaani dah, ilikuwa njema sana ile!!!
 
Nilikutana na Oman_Girl pamoja na Oprah!! Kuna huyu mmoja, alikuwa na sauti tamu ile mbaya lakini ckuwahi kukutana nae, anaitwa Jacq....mashallah, mtoto kajaliwa sauti ya wizi yule manake sijawahi kuona!! Oprah, ni msella kwa kwenda mbele...i like her!! Oman_Girl, mnh! mtoto mchakarikaji mbaya!
 
Hahahaha mkuu ulikuwa mzee wa Totoz sana Oman_Girl nilikuwa namfanananisha na Ontario_Girl huyu alisharejea kwao Pemba sikuwahi wasiliana nae TenaKitoto kizuri kiarabu wacha!, Dah Oprah yule wa Brazil alikuwa Msella tena oi! sikuwahi kutana nae ila Picha tu yake ninayo, wewe Huyo Jacq alikuwa mke wa Mtu na mwenyewe akijakukusoma humu anaweza kuleta zengwe home oi manake alikuwa akimkataza sana kutoa namba kwa watu mimi nilimuheshimu sana...... MSN bado wapo kwenye list. Candy1 sikuhizi ni mmama mkubwa! hihi... Kulikuwa na raha sana Totoz kibao za kufa mtu... Invisible ndio alikuwa nani hivi!

Bado unavua samaki kwenu Mafia wewe Mzee wa Totoz....! naona sikuhizi umetulia sana
 
Last edited by a moderator:

Hii sauti kama ya Blueboy vile....hahahahaha! Kumbe Jacq ni mke wa mtu!! Invisible wa kule simkumbuki lakini namkumbuka wa Dar Hot Wire, alikuwa Snickly! Snickly siwezi kumsahau manake alikuwa MKUDA sijapata ona!!! Kuna mwingine, alikuwa Sniper, huyu alikuwa ana-force ukuda lakini alikuwa hauwezi!!! Mwasity alikuwa pale Viwanda na biashara; nazani keshakuwa mmama sasa!! Huyu Candy1, kwangu zilikuwa haziivi, alizidi mapozi wakati mtu mwenyewe mi msela, dago man; enzi zile beach boy, usafiri wangu mashua halafu unaniletea u-sister duh!! Oprah mwaka jana alikuwa Dar, sina hakika kama hadi sasa yupo; alikuwa na bwana ake BOM; unamkumbuka?! Huyo Oman_Girl ana mdogo ana mdogo wake, mzuri balaa; utamtaka!! Kulikuwa na Rio, sijui kafia wapi, cjui bado yupo UK au karudi kwao Zenj! huyu Rio alioza kwa Oman Girl, vibaya mno!! Kuna dogo mmoja hivi, nishamsahau, alikuwa analelewa na demu fulani, na yeye nishamsahau! Basi huyu bwana si kuna siku kanikuta napiga stori na demu wake; wacha anijie juu; jamaa sound zangu zilikuwa zinampa pressure sana huku akihofia mfadhili wake asije akadata kwa mvuvi wa samaki!!

Kuhusu siku hizi kwamba nimetulia; SWADAKTAAA, tena nimetulia kweli kweli, n'shakuwa mtu uzima sasa, wakati ule wino ulikuwa hujafutika bado vidoleni; sema dah! Nime-miss sana ile kitu!!
 
Last edited by a moderator:
DHW imekufa kibudu Chatzone nayo haina kitu Trivia nako kweupe..... java chat zimedoda watoto wa kizungu sijui tutawapatia wapi tena
 
Miss_Jambo nae alikuwepo,Madonna,Shaheen, Miss_France
Kakapoa a.k.a Mtoto wa Kishua sijui kama bado yupo au alishadedi na ngoma, Riyami alikuja kuukwaa Umod,Iceberg mzee wa Man Utd a.k.a Snowman dah ilikuwa Raha,Ahlen,DLADLA a.k.a Bom,Blackmanmen Jina Gumu la huyu Mzee,Kishuna,Candy1,Zidane,Mussa Mabungo Pazi ,Kuna watu tulishaonana kabisa kitaani, Bila Kumsahau Mchizi ADnABoy, TZBoy, Oprah,Mwancity,Suzzan na Wengi sana nakumbuka enzi zile oi....Mzee wa Totoz NasDaz nundas

Hawa wengi uliowataja wamerudi bongo, mfano Kakapoa, Opra, Adnaboy. Baadhi ya wengine uliowataja wako kwenye social networks. Wengine ata sijui wameishia wapi. Mkizungumzia totoz mnanikumbusha watoto wa Milton Keynes na Reading hahaha!!! ukiingia usiku mnene BST basi unawakuta online wanasogeza masaa tu.

Kuna mpemba mmoja alikuwa stewardess wa Emirates sijui yuko wapi dah, aliolewa na muarabu mmoja wa Dubai.
 
umemsahau baggy, MAMAMIA, Snowchat

Hahaha zile chatroom zilikuwa na raha sana yaani ukikosa siku hujisikii kabisa mimi time zangu za kuchat ni night baada ya job watu waliokuwa wanachat Mchana sikuzoeana nao sana... hao kina Mwansity,Suzzy na wengineo...
Huyo Mpemba namkumbuka kama sikosei ni Mizzy ,AdnaBoy Sidhani kama karejea Unguja ndio kwao likizi huwa anaenda...

Mkuu hebu walete humu tukumbushane man... Me sometimes nilikuwa nawaona kama ni wanafamilia wenzangu... Upweke wangu walikuwa wananipa company sana japo nilikuwa Mtongozaji sana Muhahahaha na Nick name za Kuwaga

Mkuu Kakapoa kama alikuwa muongo muongo kwani net zake zilikuwa local haswa pale Voda ilipokuwa inatoa Internet slow mno... Watu wa Nje Net zao zilikuwa zimesimama mno sometime hata IP kuitrace zilikuwa issue... ila za UK ni simple zinasoma kila kitu
 
Back
Top Bottom