Mnaojua Kiswahili naombeni tafsiri ya ALL IN!
All - Yote In - Ndani ....... Yote ndani (imeingia yote).
Lakini Paula amefafanua All in kwa muktadha wa kitabu ni "kwa moyo wote"
Generali anapoamua kufanya jambo hulifanya kwa moyo wote.

Mke wa general kama kagongwa na truck .she deserve it
Hujatulia kabisa wewe Natalia...kwani na yeye anamiliki mwanza hoteli?
Yote imeingiaMnaojua Kiswahili naombeni tafsiri ya ALL IN!
Yote imeingia
Dem mwenyewe huyu hapa,anaitwa Paula Broadwell,alikuwa ni biographer wake,ameandika kitabu kuhusu Petreus...
Yaani USA hamna Siri duhLakini kademu kenyewe nako ni motomoto sana; nasikia mme wake aliumia moyo sana alipogundua kuwa alikuwa akimegewa mali ndipo akaandika barua ya siri gazetini ili kulipiza kisasi.
Kumbe bibi naye ni kanali wa jeshi, siyo mtu mdogo huyo; halafu naye ana Ph.D.
Mwanamke mwingine mzuri zaidi ya Paula kelley broadwell
Mwanamke unatakiwa kuwa attactive .yeye mke wake nywele Kama Ni ma holders bwana .she is ugly amejiachia cheki mtoto aliyeibua .
Newt Gingrich, Arnold Schwarzenegger and Herman Cain are conservative GOP walikumbwa na kashfa za uzinzi.Ndio maana amecheat he is moderate republican .we republicans conservative values and morals kwanza.una cheat your out angekuwa democratic angebakia.