Madawa ya Kulevya: Alivyotoroshwa Nurdin Akasha

Nurdin Akasha na ndugu zake wawili waliuawa kinyama downtown Amsterdam baada ya kuwadhulumu walebanese mzigo wao huko mombasa basi wao wakafikiri yameisha wakaamua kuhamia kimaisha Holland na kununua majumba ya kifahari kumbe walebanese hawajasahau ndipo walipokuja uliwa wote hotelini amsterdam wakiwa wanapata dinner....papa msoffe asifikiri wale wayahudi wamesahau alivyowadhulumu wanamlia timing tuu...ndo wenzetu weupe walivyo hata ipite 15 years kama ulikula chao kuna siku revenge lazima ishuke...RIP-Akasha..

Mkuu story yako umeitia chumvi kidogo.

Ibrahim Akasha alikuwa ni supplier wa madawa kwa ndugu wawili waliokuwa wanaishi Netherlands Magdi Barsoum na Mounir Barsoum, hawa ndugu wawili wakawa wanauza madawa kwa jamaa anaitwa Sam Klepper. Ibrahim Akasha alienda Amsterdam kufuatilia malipo yake baada ya kuuza heroin na madawa mengine kwa mkopo na hakuwa amepokea malipo yoyote, alivyofika kule Magdi Barsoum aliact kama mpatanishi kati ya Akasha na mdaiwa (mafia wa kiyougoslavia). Kabla ya kwenda Amsterdam Ibrahim alianza kuwatishia hao mafia na kumteka mmoja wao hao mafia uko Mombasa na kusema hatomuachia mpaka alipwe malipo yake.

Siku aliyokumbwa na mauti alikuwa anatembea kwenye mtaa unaoitwa Bloedstraat yeye na mkewe Gazi Hayat na baadhi ya marafiki zake wa kikenya, Akasha alipigwa risasi sita na muuaji aliyekuwa kwenye pikipiki.

Sam Klepper aliuliwa miezi mitano baadaye, Magdi Barsoum alipigwa risasi 2002 na Mounir Barsoum alipigwa risasi kwenye mtaa ambao Ibrahim Akasha alipigiwa risasi mwaka 2004 style iliyotumika ni kama iliyotumika kumuua Akasha.

Tukirudi Mombasa mtoto wa Akasha, Kamaldin Akasha alipigwa risasi na kuuliwa mwaka 2002 haijulikani kama alirithi biashara za baba yake au la, kuna mwingine anaitwa Baktash Akasha kila siku yuko kwenye matatizo na sheria na kutwa kutishia tishia watu, mwaka 2011 mkewe alikutwa amekufa katika mazingira ya kutatanisha inasemekana alikuwa anajishirikisha kwenye biashara ya madawa.

Huyo Nurdin Akasha sijui alijificha wapi.
 
mafia wakiamua wanaua ukoo mzima
 
Da Wakuu mmenikumbusha mbali sana. Hivi vipi kuhusu mwanamama aliyekuwa anaitwa Simbaulanga?

Sarah Martin Simbaulanga kesi ya utakasaji wa pesa ya kwanza ambayo kwa waTz wengi kipindi kile kupitia mfululizo wa makala ktk gazeti la uhuru ilkua kama movie dah tumetoka mbali sana 30 million! Pesa mingi sana enzi hzo
 
Msoffee? ,mbona wameshaanza kuipata? unachezea Mosad wewe? muulize mke wa Muzihir kinachoendelea, huyu bwana alipelekwa India eti kwa ugonjzwa tofauti akaishia kuhasiwa kama dume la ngombe. huo ni mwanzo tu, wenyewe wako mjini wanacheka na kuambiana 'tov meod' ndio utamu wa kutapeli hizo dola 750 kwa matumizi ya mswahili zitakua zimeshakwisha ila muzihiri kageuzwa bibi na msofe salama yake ni huko magereza, na wengineo, the list is long
 
thanx JF najifunza mengi sana kila siku na ubongo wangu unazidi kupanuka..MUNGU awabariki sana GREAT THINKERS
 
akasha alikuwa akiishi masaki kwa hapa bongo darisalamu, madawa yalikuwa kwenye matairi ya lorry, hayo wanaobeba kama spare tyre.
 
Mkuu story yako umeitia chumvi kidogo.

Ibrahim Akasha alikuwa ni supplier wa madawa kwa ndugu wawili waliokuwa wanaishi Netherlands Magdi Barsoum na Mounir Barsoum, hawa ndugu wawili wakawa wanauza madawa kwa jamaa anaitwa Sam Klepper. Ibrahim Akasha alienda Amsterdam kufuatilia malipo yake baada ya kuuza heroin na madawa mengine kwa mkopo na hakuwa amepokea malipo yoyote, alivyofika kule Magdi Barsoum aliact kama mpatanishi kati ya Akasha na mdaiwa (mafia wa kiyougoslavia). Kabla ya kwenda Amsterdam Ibrahim alianza kuwatishia hao mafia na kumteka mmoja wao hao mafia uko Mombasa na kusema hatomuachia mpaka alipwe malipo yake.

Siku aliyokumbwa na mauti alikuwa anatembea kwenye mtaa unaoitwa Bloedstraat yeye na mkewe Gazi Hayat na baadhi ya marafiki zake wa kikenya, Akasha alipigwa risasi sita na muuaji aliyekuwa kwenye pikipiki.

Sam Klepper aliuliwa miezi mitano baadaye, Magdi Barsoum alipigwa risasi 2002 na Mounir Barsoum alipigwa risasi kwenye mtaa ambao Ibrahim Akasha alipigiwa risasi mwaka 2004 style iliyotumika ni kama iliyotumika kumuua Akasha.

Tukirudi Mombasa mtoto wa Akasha, Kamaldin Akasha alipigwa risasi na kuuliwa mwaka 2002 haijulikani kama alirithi biashara za baba yake au la, kuna mwingine anaitwa Baktash Akasha kila siku yuko kwenye matatizo na sheria na kutwa kutishia tishia watu, mwaka 2011 mkewe alikutwa amekufa katika mazingira ya kutatanisha inasemekana alikuwa anajishirikisha kwenye biashara ya madawa.

Huyo Nurdin Akasha sijui alijificha wapi.

unaweza kukuta Ibrahim Akasha na Nurdini Akasha ni mtu moja., bongo akijulikana kama Nurdini, kenya kama Ibrahim
 
Da Wakuu mmenikumbusha mbali sana. Hivi vipi kuhusu mwanamama aliyekuwa anaitwa Simbaulanga?

Sarah Martin Simbaulanga kesi ya utakasaji wa pesa ya kwanza ambayo kwa waTz wengi kipindi kile kupitia mfululizo wa makala ktk gazeti la uhuru ilkua kama movie dah tumetoka mbali sana 30 million! Pesa mingi sana enzi hzo

mkuu huyu mama mbona kuna uzi upo humuhumu wadau wamemzungumzia sana
 
Nyepesi nyepesi nilizonazo hao mafia waliimaliza familia yote ya Akasha as revenge..majumba yake ya mombasa yamebaki kama magofu hamna watu wanaoishi hata wale extended family wanaogopa kuyaishi wasije guswa na hio maliza maliza ya mafia..
 
unaweza kukuta Ibrahim Akasha na Nurdini Akasha ni mtu moja., bongo akijulikana kama Nurdini, kenya kama Ibrahim

Nurdin Akasha ni mtoto wa Ibrahim Akasha kutoka kwa mke wake wa kwanza aliyekuwa anaitwa Karama (alifariki 2007), Kulikuwa na Kamaldin huyu alipigwa risasi mwaka 2002, Baktash (mtoto wa mke wa pili anayeitwa Fatma), Tinta (mama yake ndio alikuwa na Ibrahim wakati anapigwa risasi) kuna mwingine anaitwa Nuri Akasha.
 
The elder son of the late drug baron Ibrahim Akasha was shot dead on Thursday night in Mombasa.

Kamaldin Akasha was shot dead at his petrol filling station, a few metres from Makupa Police Station.
His father was also shot dead under mysterious circumstances in the Netherlands two years ago.
 
Msoffee? ,mbona wameshaanza kuipata? unachezea Mosad wewe? muulize mke wa Muzihir kinachoendelea, huyu bwana alipelekwa India eti kwa ugonjzwa tofauti akaishia kuhasiwa kama dume la ngombe. huo ni mwanzo tu, wenyewe wako mjini wanacheka na kuambiana 'tov meod' ndio utamu wa kutapeli hizo dola 750 kwa matumizi ya mswahili zitakua zimeshakwisha ila muzihiri kageuzwa bibi na msofe salama yake ni huko magereza, na wengineo, the list is long

Dola 750 au 750,000?
 
unaweza kukuta Ibrahim Akasha na Nurdini Akasha ni mtu moja., bongo akijulikana kama Nurdini, kenya kama Ibrahim

Walipo leta madawa ya kulevya ya Akasha ili yachomwe moto kwenye tanuli la TAZARA nilikuwepo, Nurdin Akasha was under escort ya kawaida kabisa wala mtu usigefikilia ni mtuhumiwa! Wala sikushangaa waliposema alifanikiwa kutoroka baadae.

Kitu kilicho nishangaza Nurdin Akasha mwenye alionekana bado kijana sana wakati huo, kwa mawazo yangu nafikili Ibrahim alikuwa ni mkubwa au baba yake Nurdini.
 
You are right, Nurdin ni mtoto wa Ibrahim. Mara ya mwisho huyu Nurdin alikuwa anagombana na ndugu zake kuhusiana na urithi wa mali za baba yake.
 
Back
Top Bottom