CIA Director David Petraeus Resigns due to Extramarital Affair

As always, sounding like the happy-go-lucky, white di.ck worshipping, cocksucking b.itch that you really are.

I bet General Petraeus would have had no trouble pulling your hair back while sticking his d.ick in your a.ss like it ain't no thang!
Yes he is sex and powerful he deserve it.hata wewe ungepata huyo opportunity .petraus sexiest as ever I love him he rocks
 
Ushawahi kuiba au kuibiwa wewe? teh teh teh

100 percent Hakuna mwanamke anaweza kumshughulikia mume wangu.amefika hapa ata nikiamua kumcheat atajirudisha mwenyewe.mwanamke kujipenda na kumridhisha Mumeo.mwanamke wa petraus yaani alijiachia mno .mume wangu asubuhi tunaenda kichinachina,mchana akirudi lunch kililipino jioni kirusi usiku kizaramo.chezea natalia
 
100 percent Hakuna mwanamke anaweza kumshughulikia mume wangu.amefika hapa ata nikiamua kumcheat atajirudisha mwenyewe.mwanamke kujipenda na kumridhisha Mumeo.mwanamke wa petraus yaani alijiachia mno .mume wangu asubuhi tunaenda kichinachina,mchana akirudi lunch kililipino jioni kirusi usiku kizaramo.chezea natalia

Anayesifia mvua imemnyeshea....
 
hires_110831-N-TT977-123d-660x440.jpg

The four Star General so admired in the States...amekimbia kashfa ya Benghazi huyu jamaa sio kimeo chake na huyo demu. Wiki hii Congress walikuwa wanakula naye sambamba.
 
Hii issue ya Petreaus inachukua sura mpya, naona sasa wameanza kumchunguza Gen. John Allen
 
Hii issue ya Petreaus inachukua sura mpya, naona sasa wameanza kumchunguza Gen. John Allen

Ni kweli Issue ya General Petreaus imechukua sura mpya,Mtoa habari za mahusiano ya kimapenzi ya General Petreaus na mdada Paula Broadwell nae ameonekana ana mahusiano ya kimapenzi na Kamanda wa ISAF (International Security Assistance Force) ambaye pia ni Mmarekani General John R Allen.Mdada huyo anayejulikana kwa jina la Jill Kelley inasemekana ni rafiki mkubwa wa familia ya Gen.Petreaus.MS Kelley anaishi Tampa,Florida ambako ndio Makao makuu ya Jeshi,amekuwa na mahusiano ya karibu na familia ya Petreaus kwa kipindi cha miaka 5 sasa.Jill Kelley ni mke wa Daktari Bingwa wa upasuaji wa saratani (Cancer) na ana watoto 3 katika ndoa yake.

Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) inamfanyia uchunguzi Gen.Allen na wamedai wanapitia emails 30,000 ambazo zilikuwa ni mawasiliano kati ya Gen.Allen na Mdada Kelley,kwa kipindi cha miaka miwili na nusu,bado hakuna taarifa yoyote inayoonyesha kujiuzulu kwa Kamanda Allen,lakini White House (Ikulu) imesimamisha kikao cha kumpandisha wadhifa Gen.Allen na kuwa Kamanda wa NATO,Kikao ambacho kilikuwa Kifanywe na Kamati ya Bunge inayohusika na mambo ya Ulinzi na Usalama mapema alhamis Ijayo. (22/Nov/2012).General Allen na General Petreaus ni marafiki wa karibu,na Gen Allen ndio aliyechukua madaraka ya Gen.Petreaus huko Afghanstan.Viongozi hao wawili wakubwa jeshini walikuwa wanatembea na wanawake nje ya ndoa zao.Jana usiku FBI wamekwenda nyumbani kwa Broadwell,Charlotte,NC na kuchukua computers na vifaa vingine kwa ajili ya uchunguzi.

Mfumuko wa habari hii ya aibu jeshini ulianza pale Mdada Broadwell alipomuandikia barua pepe (email) kali Kelley,kwamba asimfuatilie mambo yake na Gen Petreaus.Mdada Kelley kutokana na mahusiano yake ya karibu au wivu akaamua kumlipua Broadwell kwa kuripoti kashfa hiyo kwa FBI.Shirika hilo la Upelelezi likamtuma agent wake afuatilie kashfa hiyo na kutoa taarifa ktk ngazi husika.Cha ajabu agent huyo ambaye hajatajwa jina,nae ilionekana ana mahusiano ya karibu na Mdada Kelley,kwani kuna baadhi ya picha zisizo na maadili za agent huyo zimekutwa nyumbani kwa Kelley.Baada ya kuona kuwa kuna uhusiano kati ya mtoa habari (Kelley) na agent FBI wakamtuma agent mwingine kumchunguza agent wa mwanzo.Kesi nzima inahusu matumizi ya vifaa vya serikali na uvujaji wa siri nzito za serikali (Classified information).Kuna mgawanyiko wa mawazo miongoni mwa wanasiasa na watu wa Usalama.lakini vyovyote itakavyokuwa hata hadhi ya Gen. Allen itaporomoka,na haijulikani kama atajiuzulu aua ataendelea na wadhifa wake.
 
shukran kwa taarifa mkuu.
naona kuna mtandao wa ngono hapo.
kuna mdau alisema kwenye hii thread, Israel is trying to use the opportunity kuweka Myahudi kwenye hiyo position iliyoachwa wazi.
kwa hiyo tutaskia kashfa za potential candidates ambao ni anti-israel.

nimejaribu kufatilia kwenye mtandao naona wamarekani hawapendi effects za urafiki wao na israel maana wanapata maadui wasio na ulazima. its safer for US iff watabadilisha Foreign Policy yao kwenye suala la Urafiki na Israel.
 
mkuu wa cia gen. Petraeus amekabidhi barua ya kujiuzulu kuliongoza shirika la kijasusi la marekani cia kutokana na tuhuma za kufanya mapenzi kinyume na maadili ya ndoa; raisi obama amekubali kujiuzulu kwake. Uadilifu wa kiongozi unaanzia nyumbani; viongozi wetu tanzania wanatakiwa wajifunze kwenye mambo ya uadilifu na wawe wakweli kwa wananchi wanaowatumikia; leo siasa imegeuzwa kama mradi wa kuwaridhisha vimada; ukiangalia kwenye wabunge wa viti maalumu ni utitiri wa vimada. Vingozi badilikeni!

developing story:

november 9, 2012

nbc reported friday that cia director david petraeus has resigned from the cia, citing an extramarital affair.

nbc's andrea mitchell said the resignation was submitted in a letter dated friday and was accepted by the white house.

in a letter, petraeus noted that he had been married for 37 years and had exercised "extremely poor judgment' in conducting an extramarital affair.

petraues took over as head of the cia in september of 2011 following his tour as head of allied forces in afghanistan.

chama
gongo la mboto dsm


ibada njeeeeeeeeeeeema! Ina anzia nyumbani,wabongo jifunzeni hilo
 
Hii kesi kiboko, kumbe huyo anonymous FBI agent ambaye alianzisha uchunguzi dhidi ya email za Broadwell alishawahi kumtumia Jill Kelley picha akiwa hajavaa shati
 
Hii kesi kiboko, kumbe huyo anonymous FBI agent ambaye alianzisha uchunguzi dhidi ya email za Broadwell alishawahi kumtumia Jill Kelley picha akiwa hajavaa shati

Oooh yeah jamaa alikuwa anataka kujiwahi aliona kuwa Jill Kelley ni mwanamke rahisi.Jamaa ni mmoja kati ya FBI wa muda mrefu na ni mzoefu kwa kazi ametajwa jina kwamba ni Fredrick Humphries.
 
Back
Top Bottom