Search results

  1. S

    Arusha wafanyabiashara wa madini wamepigwa risasi

    Walikuwa wawili. kwenye gari maeneo ya pangani wamewahishwa hospital ya. Mt meru
  2. S

    madiwani cdm wanaotaka kumburuza slaa mahakamani hawa hapa

    na niziweke hapa tuwajue madiwani ngangari wa cdm wanaotaka kumpeleka katibu wao mkuu mahakamani
  3. S

    CHADEMA wamshukia Ngawaiya

    CHADEMA yamuonya Ngawaiya asikurupuke na Grace Masha, Moshi CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimemtaka Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Kilimanjaro, Thomas Ngawaiya, kuacha kukurupuka kwa kuzungumza mambo ya uongo ili kujitafutia umaarufu...
  4. S

    Vimbano, vimini bungeni vyamkera naibu spika

    amewatolea uvivu wabunge Wanawake huku akiwaasifu wanaume kwa kufuata kanuni ya mavazi na kuwasisitizia wa kike wataendelea kurudishwa mlangoni
  5. S

    binti mrembo katili kaua mwanaye

    amejifungua akamtupa kwenye choo cha hotel morogoro Kweli sisi Wanawake sometimes ni wanyama Huyu binti apewe athabu kali pamoja na aliyempa mimba hiyo Source itv
  6. S

    Selasini on BBC: Mabomu yalikuwa yame-expire!

    Mbunge wa Rombo kaamua kuweka hadharani chanzo mlipuko G'Mboto; anadai yalikuwa yame-expire... Ameongea kwa kofia mbili: 1 kama mkazi wa Gongo la Mboto na 2 kama Waziri kivuli wa ulinzi. Amesema kuna taarifa makombora yalikuwa yame-expire na jeshi lilishaomba fedha serikalini kwa ajili ya...
  7. S

    nisaidieni sample ya mkataba nauza nyumba

    jamani wanasheria nisaidieni sample nauza nyumba nimeelezwa gharama za lawyers ni kubwa nisaidieni chonde chonde
  8. S

    Msando vipi tena

    Msando amburuza kortini Mwanasheria Mkuu wa serikali na Grace Macha, Moshi DIWANI wa kata ya Mabogini, Albert Msando (CHADEMA), amemfikisha mahakamani Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Moshi akipinga taratibu zilizotumika kumchagua mwenyekiti wa halmashauri...
  9. S

    Dr slaa kalazwa moi

    Dr SLAA amefanyiwa upasuaji mdogo kwenye mkono aliovunjika Anapatiwa matibabu Moi Source wakili Albert Msando amesema mahakamani arusha leo asubuhi
  10. S

    CHADEMA waongeza mbunge Arusha mjini

    cdm imempeleka mbunge wa viti maalum anna maulida komu kwenye halmashauri ya jiji la arusha Mama huyo mkongwe na mkomavu kisiasa aliripoti ijumaa kwa mkurugenzi wa halmashauri hiyo. Soc. tanzania daima My take sasa cdm wanakuwa na uhakika wa ushindi endapo uchaguzi wa meya utarudiwa
  11. S

    wanaovunja viti uwanja mpya .......

    nina wasiwasi wanaovunja viti uwanja mpya wa taifa si watanzania
  12. S

    kupanda umeme kcc twafa

    umeme kupanda kwa asilimia18 kwa ghafla hivi inamaana ndiyo wanatukamua fedha za kuwalipa mafisadi through dowan
  13. S

    mtandao wa voda noma

    jamani kama kuna siku nimeudhika ni leo , mtandao wa voda unakera sana tokea saa tatu asubuhi napiga simu haziendi inabidi nitumie mtandao mwingine kuwasiliana na watu wa voda hivyo unanizidishia makali ya maisha kwani inaongeza bajeti ya voucher . kama kuna watu wa voda humu rekebisheni si...
  14. S

    lyatonga asababisha mauaji

    mbunge wa vunjo agustino lyatonga mrema ametoa nyumba yk huko kiraracha itumike kuhifadhi watuhumiwa wa uhalifu waliokamatwa kijijini hapo na sungussungu Jambo lililosababisha kuchomwa kwa nyumba ya mwenyekiti wa kijiji hicho na kusababisha vifo vya watu wawili . Hivi ubunge hauna mipaka nani...
  15. S

    Mgonjwa wa sukari ale nini?

    Naomba mnisaidie nina ndg yangu amepimwa last wk kaambiwa anatatizo la sukari ilikuwa 7 jana kaenda kupima kaambiwa 18 ninaomba mnisaidie atumie vyakula vya aina gani isiendelee kupanda ?
  16. S

    Hivi katiba ya sasa imekaa vp kwa Wanawake?

    katiba ya sasa imempa nafasi gani mwanamke kwa sababu huwa nasikia mapungufu ni mengi ila sijasikia Wanawake wakidai katiba mpya
Back
Top Bottom