binti mrembo katili kaua mwanaye | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

binti mrembo katili kaua mwanaye

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by superfisadi, Mar 12, 2011.

 1. s

  superfisadi JF-Expert Member

  #1
  Mar 12, 2011
  Joined: May 22, 2009
  Messages: 552
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  amejifungua akamtupa kwenye choo cha hotel morogoro
  Kweli sisi Wanawake sometimes ni wanyama
  Huyu binti apewe athabu kali pamoja na aliyempa mimba hiyo
  Source itv
   
 2. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #2
  Mar 12, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,102
  Likes Received: 22,141
  Trophy Points: 280
  Duhh< wa chadema?
   
 3. Zamaulid

  Zamaulid JF-Expert Member

  #3
  Mar 13, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 16,332
  Likes Received: 6,673
  Trophy Points: 280
  Aliyempa mimba ana kosa gani?hujatoa ushahidi kuwa aliyempa mimba alishirikishwa kutenda kosa hilo la kikatili!
   
 4. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #4
  Mar 13, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Yaani sikuamini nilipomuona kwenye tv wakati wa habari kama ni yeye alitenda tendo lile!
   
 5. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #5
  Mar 13, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  ana urembo wa namna gani hadi mshangae hivo......................
   
 6. s

  superfisadi JF-Expert Member

  #6
  Mar 13, 2011
  Joined: May 22, 2009
  Messages: 552
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Sorry ni typing error
   
 7. s

  superfisadi JF-Expert Member

  #7
  Mar 13, 2011
  Joined: May 22, 2009
  Messages: 552
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Huyu binti mpk kufikia hatua hii huenda ametelekezwa na aliyempa m mimba Na amekosa msaada wa kiuchumi na hajapata msaada wa kisaikolojia kufanya akubaliane na hiyo hali .
   
 8. s

  superfisadi JF-Expert Member

  #8
  Mar 13, 2011
  Joined: May 22, 2009
  Messages: 552
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Kabinti kazuri kimuonekano kanavutia ila ukiangalia namna katupa mtoto kichwa kimezama chooni kiwiliwili kimekaa juu inatisha jamani
   
 9. C

  CHESEA INGINE Senior Member

  #9
  Mar 13, 2011
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 180
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  NILIMWONA KWENYE tv. alinistua sana! Kwenye jamii yetu kuna tatizo. Maadili yamepotea kabisa! Nafikiri ni vyema tuanze upya na makusudi kabisa somo la maadili na mila na desturi zetu nzuri zifundishwe mashuleni! Nadhani mila nzuri za Kihaya, Kisukuma, Kimasai, Kichagga, Kisambaa, Kiluguru, Kigogo, Kihehe, Kinyakyusa, Kingoni Kizaramo Kinyamwezi na kadhalika wasomi wetu wakakaa chini kuzikusanya pamoja tutapata kitu Tanzania itakipenda na kukienzi! Mila zo kimangaribi na Ulaya si zetu. Tuna zetu nzuri mno hatuziboreshi! Wasomi mpoo!
   
 10. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #10
  Mar 13, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Wajinga na wapumbavu utawajua tu....
   
Loading...