Arusha wafanyabiashara wa madini wamepigwa risasi

Arusha wafanyabiashara wa madini wamepigwa risasi

superfisadi

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2009
Posts
553
Reaction score
54
Walikuwa wawili. kwenye gari maeneo ya pangani wamewahishwa hospital ya. Mt meru
 
hii ndio hatari ya kuandika thread tu ili uwe wa kwanza kuripoti,...habari haijakamilika wala haieleweki kabisaaaaa
 
Wameiba hela walizokuwa nazo kwenye gari waliopiga risasi walikuwa na toyo
 
Duh... Mimi nimesikia kuna jamaa wa mawe anaitwa Abel na mwenzake wamevamiwa na majambazi leo ,wameumizwa na kwa sasa wako hospital.
 
Walikuwa wawili. kwenye gari maeneo ya pangani wamewahishwa hospital ya. Mt meru

Wewe itakuwa darasa la pili C. Habari fupi haina vielezi wala viambishi. Toa habari iliyokamilika ndg yangu, kama huna acha. Pangani ya wapi sasa! Tanga au! maana Mt. meru hosp ipo Arusha, kwa hiyo wametoka tanga na kuwaleta arsha aU!
 
Back
Top Bottom