Search results

  1. Y

    Habari kubwa leo

    habari wadau wa jf kwa habari nilizopata muda huu ni kwamba nafasi za ajira jeshi la polisi zimetangazwa leo kazi kwenu wadau mimi bado naendelea kusoma!!!!!
  2. Y

    MSAADA WA MAWAZO WADAU WA ELIMU (mitihani ya bodi ya uhasibu ATEC 1)

    habari zenu wana jamii forum kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu naingia diploma chuo kikuu cha tumain campus ya mbeya fulcuty BUSSINES ADMISTRATION na nataka mwaka ujao nifanye mitihani ya bodi ya uhasibu ATEC 1 vipi naruhusiwa na mambo gani ya muhimu nizingatie?!!!!
  3. Y

    Mliosoma lugalo secondary iringa tufahamiane jamani!!!

    mambo vp jf members? i hope wote wazima kwa jf members waliosoma mkoani iringa shule ya sekondari LUGALO tufahamiane kupitia huu uzi tafadhali hata kama ukusoma lugalo lakini ulisoma shule nyingine mkoani IRINGA tupeane mastori KARIBUNI!
  4. Y

    Msaada wa mawazo wanajamvi kwa wazo hili la bihashara!!!!!!

    Habari zenu wanajamii forum, Najitokeza katika jukwa hili ili kuweza kupata msaada wa biashara,kiufupi kuna jamaa yangu mmoja amemaliza chuo na kapata kazi katika taasisi moja kubwa na anachukua mshahara mzuri. So anataka kuchukua mkopo ili aweze kufungua PETROL STATION. Msaada kwenu...
  5. Y

    Wasanii wa bongo badilikeni ili muendelee kuwa na heshima katika tasnia ya muziki...........!!!!!!!

    Mambo vp wanajamvi?nategemea mko poa na asante mungu kwa kutupa fursa na nafasi ya kukutana tena humu ndani,kiukweli wasanii wa muziki nchini inabidi wabadilike ili kuendana na soko la muziki nchini,ni aibu kubwa msanii kumpigia magoti meneja na kurushwa kwenye mitandao na si PNC peke yake DOGO...
  6. Y

    Msaada tafadhali wanajamvi!!!!!

    habari zenu wanajukwaa ni matumaini wote mko vizuri kwa ufupi mimi ni mtahiniwa wa kidato cha nne so nimejipanga nataka kuingia chuo cha mipango dodoma but nimeambiwa unaweza kuingia DIPLOMA moja kwa moja bila kupitia CERTIFICATE vp hii ikoje mwenye info tafadhali!!!!!
  7. Y

    MBEYA WING SPECIAL THREAD: hata kama hauko mbeya thread inakuhusu!!!

    Mambo vp to all jf members whatever you are i hope wote mko fresh na mishe zinasonga,nisiwatie uchovu kwa mara nyingi nimeweza kusikia arusha wing,tanga wing,dar wing ndani ya jukwaa but nahisi wana MBEYA tumejitenga sana katika jukwaa please naomba tufahamiane ili kuweza kutengeneza umoja...
  8. Y

    Msaada wa nyimbo tafadhali

    mambo vip wadau wa jf kama kichwa cha thread kinavyojieleza nahitaji msaada wapi nitaipata nyimbo ya mirro inayoitwa nibembeleze my boo,mashairi yake inasema nibembeleze kwenye beat ya mazuu jina zuri nitakuita my boo!!!! msaada wana jf
  9. Y

    Jeshi la polisi

    habari zenu wakuu tafadhali wana jf yeyote mwenye info kuhusu nafasi za ajira kwa jeshi la polisi kwa wahitimu wa form form kwa mwaka 2014!
  10. Y

    NI USHAURI TU!!! (tafakari chuku hatua...!!!)

    NI USHAURI TU.....!!! "ukiona upo katika mahusiano yanayokufanya ulie kila siku jiulize huyo uliye nae ni MPENZI au BOMU LA MACHOZI? fikiria,acha kulia,chukua hatua OVER!!!!!!
  11. Y

    UDOMO ZEGE ULINIPONZA SASA NIMEKUA SITORUDIA TENA...!!! (true story you must read this)

    habari wanajamvi wa MMU naamini wazima na kheri ya mwaka mpya kwenu wote,back in days baada ya kumaliza kidato cha nne nilisafiri na kurudi nyumbani mbeya coz nilikuwa nasoma mbali na wazazi but nilikua naenda likizo tu,baada ya kurudi nyumbani kwa wazazi nilifahamiana na binti mmoja ambaye...
  12. Y

    MALALAMIKO KUMUHUSU MWENYEKITI KUTOKA KWA WANAJAMVI WA CHITCHAT.....!!!! (soma ndani kwenye thread)

    habari wanajamvi i hope ni wazima na mnaendelea kusuma siku taratibu zikiwa zimebaki siku 360,naanza kwa usemi wa kauli inayosema MJENGA NCHI NI MWANANCHI NA MVUNJA NCHI NI MWANANCHI,kumekuwa na malalamiko,vilio kutoka kwa wana chitchat kumhusu MWENYEKITI na hii inadhihirisha ni kwa kiasi gani...
  13. Y

    Morning gretings to all jf members!!!!

    naanza kwa kusema habari zenu wote mlioko humu ndani,ikiwa ni siku ya nne ya mwaka 2014 i hope wote mko poa na mnaendelea na majumuku ya kila siku kama ilivyo kawaida nisiwachoshe sana namaliza kwa kusema habarini za asubuhi all jf members........!!!!!
  14. Y

    Tupeane mialiko ndugu wana jf......!!!

    habari humu ndani i wish wote mko poa ni kawaida na ni desturi kwa watanzania kuwa na desturi ya kujumuika katika kipindi cha furaha na shida but nashangaa humu ndani tunashindwa kupeana mialiko wana jf tubadilike jamani!!!!!!!!!
  15. Y

    Sitaangalia chama cha siasa tena bali nitaangalia kiongozi; Mtizamo wangu

    Habari wana jamvi naamini wote wazima, Naanza kwa kusema kuanzia leo mimi Yusuph Issa naapa mbele ya jukwaa hili siasa kwamba nitaangalia kiongozi na sio chama kutoka na sababu zifuatazo: 1:vyama vingi vya siasa vipo kwa ajili ya maslahi na sio siasa 2:viongozi wengi ni wanafki...
  16. Y

    Kauzu ya dagaa...!

    MWANAMKE: baby leo bata wapi? MWANAUME: bandani kwake!!!
  17. Y

    Kauzu ya dagaa.....!

    MSICHANA: baby leo bata wapi mpenzi wangu? MWANAUME: bandani kwake!!!
  18. Y

    Msaada tafadhali

    mambo vipi wadau wa mmu na jf kwa ujumla i hope mko poa kuna kitu nimekutana nacho humu jf so nimeona niulize kwenu may be nitapata ufumbuzi wa swali langu leo katika pita pita zangu jf nimeingia katika jukwaa la PREMIUM MEMBERS but nashangaa sijaruhusiwa kuingia katika jukwaa hilo majibu...
  19. Y

    ushauri tafadhali wana jamii forum wenzangu!!

    mambo vipi wanajamvi naanza kwa kusema nimemaliza kidato cha nne (form four) mwaka 2010 so baada ya kujichanga changa hela kidogo nataka kujiendeleza chuo cha maendeleo ya jamii yaani community development vipi yeyote aliyesoma hapo na ishu za kazi zikoje ushauri tafadhali.......!!!!!
  20. Y

    darasa ft mchiz mox feat shilole -mikono juu

    yeah! its classic music na darasa anaendele how classic he is kiukweli jamaa kabadilika katika hii ngoma tafadhali wadau tuonyeshe suport kwa darasa akiwakilisha kiwalani CLASSIC MUSIC!!!!!!!!
Back
Top Bottom