Morning gretings to all jf members!!!!

Morning gretings to all jf members!!!!

Yusuph Issa

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2013
Posts
528
Reaction score
82
naanza kwa kusema habari zenu wote mlioko humu ndani,ikiwa ni siku ya nne ya mwaka 2014 i hope wote mko poa na mnaendelea na majumuku ya kila siku kama ilivyo kawaida nisiwachoshe sana namaliza kwa kusema habarini za asubuhi all jf members........!!!!!
 
Mimi na Ladymasa tupo salama kabisa, sijui wewe. Asante kwa kutujulia hali mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Morning,najaribu kuhesabu siku zilizobaki ili mwaka uishe duh!
Zimebaki 361???
 
Wala sana si umepata breakfast saivi? wala kama viwavijeshihatari sana. kwa
mwendo huu tutafilisika huachi tumbo liheme!

Breakfast yote si umeitumia wewe kwa kunaniliu utadhani usiku hukupata! Haya nina njaa bana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom