Jeshi la polisi

Yusuph Issa

JF-Expert Member
Jun 20, 2013
528
82
habari zenu wakuu tafadhali wana jf yeyote mwenye info kuhusu nafasi za ajira kwa jeshi la polisi kwa wahitimu wa form form kwa mwaka 2014!
 
unamaanisha Form four au? Kama ni form four, iko hivi:
Form four wanahitimu November 2014, matokeo yao yanatoka Feb/March 2015. Vyeti (Result Slip) vinaweza kutoka June 2015.
Kwahiyo wewe (Form four sasa hivi), kupata ajira ya Police, maybe July 2015 na kurndelea.
Tena mwaka 2015 serikali itahitaji askar wengi sana kwaajili ya uchaguzi. Jipe Moyo.

P.S: Ukifeli tu, huna chako. Police mwisho division IV.
 
magereza wao wana ajiri lini?
 
Mwaka 2011: Walichukua June/July
Mwaka 2012: Ilikua April
Mwaka 2013: ****

Muda wowote kaka, stay tunned, haina kipind maalumu.

Inakuaga June/July. Sijui mwaka huu.

2013 Magereza hawakuchukua ila wiki ijayo wanaanza kufanya usaili kwenye makambi ya JKT
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom