Yusuph Issa
JF-Expert Member
- Jun 20, 2013
- 528
- 82
habari wadau wa jf kwa habari nilizopata muda huu ni kwamba nafasi za ajira jeshi la polisi zimetangazwa leo kazi kwenu wadau mimi bado naendelea kusoma!!!!!
sasa hii ndio habari kubwa? mimi nilijua foleni imesha dar.
kwayoyote anayefahamu jinsi ya kutuma maombi ya kujiunga na jeshi la polisi tz naomba anijulishe na haakikishe kama kweli zmetoka au wapi niende ili nikapate maelezo zaid jinsi ya kujiunga na mafunzo ya polisi tz

oya jamani mbn policeforce akuna ki2 chochote mwemye habari basi aseme kazitoa wapi?
tembelea www.policeforce.com kupata info au kama vip ni PM
habari wadau wa jf kwa habari nilizopata muda huu ni kwamba nafasi za ajira jeshi la polisi zimetangazwa leo kazi kwenu wadau mimi bado naendelea kusoma!!!!!
yusuph lakini policeforce wameweka tangazo la wale walioitimu 4m4 2013 na 4m 6 2014 wataajiriwa kupitia mashulen na walisema watatoa majina kwenye magazete bt 2pe info inakuwaje ili 2ombe