Search results

  1. A

    Amani,upendo na ujamaa aliondoka navyo jk nyerere

    nimekaa leo nmemkumbka baba wa taifa hili enzi hizo lilikuwa kimbilio la mataifa mbalimbali na lilikuwa taifa la kupigiwa mfano África, sasa limekuwa shamba la bibi kila mtu anafanya anachokiweza ili atajilike madawa ya kulevya sasa la kulevya ruksa,ujangili ruksa,maofisini ufisadi ruksa. Amani...
  2. A

    TBC kwao habari ni ya wahuni wa vyuo kumwambia JK aendelee na katiba

    Tbc sio ya ccm lakin inatumika na ccm,ccm ndo inavyochezea kodi za wananchi
  3. A

    Kinana na Nape waonja joto ya jiwe Bunda

    Badala ya kutueleza mtatutatuliaje matatzo yetu mnaizungumzia Chadema hawa uongozi wa sasa wa ccm ndo umekuja kuizka ccm kabisa
  4. A

    IGP Mwema ameibiwa upanga wa dhahabu wa kilo tatu

    Wataingia hadi hii nchi shamba la bibi wauza unga sawa,majingiri sawa,majambazi sawa,matapeli sawa ndo maisha bora kwa kila mtanzania mnashangaa
  5. A

    Ukiwa na Leseni ya Bara hauruhusiwi kuendesha gari Zanzibar!

    Hujui ulisemalo mtabaki kuwa wajinga mna nini mnacholingia watu mna maisha magumu mlo mmoja cjui jeuri mnaitoa wapi
  6. A

    Connect Dots: Jambo Leo Liliandika "Maisha ya Mwakyembe Hatarini"... Pinto aliwasindikiza Airport!

    Mi nashangaa sana hii kweli imeoza sana watu wengne wakitajwa wanakamatwa kwenda kutoa maelezo polisi,lakin watoto wengi wa vigogo na vigogo wametajwa humu waziwazi hawajaitwa polisi hata kwa mahojiano
  7. A

    Kwa mapambano haya tu, CHADEMA mnakaribishwa Zanzbar

    Ipo cku watajua ukweli
  8. A

    Maneno ya Shitambala juu ya CHADEMA yalikuwa kweli

    Wazalendo wanauza wanaosafirisha wanyama walio hai,pembe za ndovu,madawa ya kulevya
  9. A

    Mtoto wa Chacha Wangwe kuvaa viatu vya baba yake

    Mungu amtie nguvu kupambana na mkoloni mweusi
  10. A

    Mashtaka ya ugaidi Tabora yafutiliwa mbali, Henry Kilewo na wenzake 4 huru kwa tuhuma hizo

    Tutaki kukata rufaa mana sasa mnachezea kodi zetu
  11. A

    Mashtaka ya ugaidi Tabora yafutiliwa mbali, Henry Kilewo na wenzake 4 huru kwa tuhuma hizo

    Sasa wananchi tumeanza kuelewa sasa hapo nani mkweli CCM na CHADEMA mana kesi zote ccm wamemwagwa
  12. A

    Tanzania Ijifunze Toka kwa Wanamtaa wa Mbuyuni, Kata ya Makongo-Wilaya ya Kinondoni

    Kama ni huko siumiz kichwa huko wanakaa wastarabu na wasomi ambao hawadanganyiki
  13. A

    Mbowe ueleze umma ukweli, ni nani kafanya mauaji arusha?

    Mwambien mwenyekiti wenu aunde tume tujue ukweli kwa nn hamjamshinikiza kuunda tume unafiki utaua hadi watoto wako badae wewe sasa hv burudika tu kuandka huo upuzi wako lakini watoto ndo watakuja kupata shida
  14. A

    Live on ITV - UZALENDO: Dr Slaa vs Mangula

    Nmeangalia kipindi kipya cha UZALENDO ITV kwa kweli sijakielewa badala ya kuuliza maswali kwa kubalance anauliza kwa kukishambulia chama kimoja nawashauri viongozi wa CHADEMA wasikate tamaa watamaa kwa watangazaji kama huyu wa kipindi kalipwa shilling ngapi
  15. A

    Masogange awataja wamiliki wa mzigo aliokamatwa nao SA

    Hawawezi kukamatwa wangekuwa wametajwa wa chadema hapo ndo mgeona mkono wa sheria inavyofanya kazi
  16. A

    Masogange awataja wamiliki wa mzigo aliokamatwa nao SA

    Hawawezi kukamatwa wangekuwa wametajwa wa chadema hapo ndo mgeona mkono wa sheria unavyofanya kazi
  17. A

    Azzan: Nitajiuzulu ikibainika nauza dawa za kulevya

    ------- c ajiuzuru tu anataka nani amthibitishie mungu au mana punda wake ndo kamtaja
  18. A

    Kyela waitungia wimbo CHADEMA

    Kazi ni kuuza wanyama wetu,pembe za tembo,kuuza madawa ya kulevya
  19. A

    Kura za CCM ziko huku: Huku ndiko zilikopotelea...

    Mwambieni mwenyekiti wenu aunde tume huru kama alivyodai mwenyekiti wangu ili tujue ukweli na uongo mbona mnaogopa kama hii ishu haikufanywa na ccm
  20. A

    Madiwani CHADEMA wafichua ufisadi wa Bilioni 11 unaohusisha viongozi wa CCM, TAMISEMI na Hazina

    Wewe ni mpuuzi hapo pameongelewa mambo ya ruzuku hapo nyie pesa za walipa kodi na unapotosha mada cjui unaongozaje familia yako
Back
Top Bottom