Kyela waitungia wimbo CHADEMA

Kilicho wagusa zaiidi ni kuhimiza amani,upendo........haya maneno mawili yanatosha tusichukue mengi,kwa akili yako umeona chadema wanaendana na uliyoandika,unamatatizo mkuu.

Join Date : 24th July 2013

Posts : 156

Rep Power : 332

Likes Received12
Likes Given2

Bigman we c umejiunga JF hata juma halijaisha? Ni usajili mpya wa MWIGULU? vipi tayari umeingiziwa....?
 
Yawezekana chadema bado hawajauwa mtu kyela watu wakajionea jinsi chadema kinavyotekeleza mauaji kwa watu.

Kyela tumejipanga kuikomboa Kyela yetu na Tanzania bila kuogopa kutu ng'oa kucha, meno nk tunajua Mungu atakuwa upande wetu daima. VIVA CDM
 
Hebu tukione hicho kibao, Tena kama itawezekana kiwe Uploaded ktk mtandao maana haikawiii kupigwa ban sokoni kwa kisingizio cha uchochezi.

Kama nitaikuta video hiyo sokoni, Nitainunua kwa gharama yeyote ili kuwawezesha wakatoe nyingine ya kuelimisha jamii.
 
Yawezekana chadema bado hawajauwa mtu kyela watu wakajionea jinsi chadema kinavyotekeleza mauaji kwa watu.

Na yaelekea Nchemba hajakutembelea ndio maana unandika upuuzi waulize,makada wenzako wa CCm alichowafanyia wake wa makada wenzake,haya wahi buku saba zako mapema hii siku hata nusu haijafika.
 
Ngoja wikiend niende kyela ntakitafta hicho kibao wadau wote hapa jamvini mtakipata jaman, magamba huku kyela yapo i.c.u na waziri wao wa reli na bandari huku akituacha tulio mchagua tunangamia kwa kipindupindu
 
Kama vile ufisadi, ung'oaji watu kucha na meno bila ganzi, kufanya campaign misikitini na makanisani, safari zisizo na tija wala mashiko kwa taifa, kukopa kopa ovyo na hela hazijulikani zilipoenda hizo si ndio shughuli zenye manufaa comrade?

are you serious?
 
Ngoja wikiend niende kyela ntakitafta hicho kibao wadau wote hapa jamvini mtakipata jaman, magamba huku kyela yapo i.c.u na waziri wao wa reli na bandari huku akituacha tulio mchagua tunangamia kwa kipindupindu

kipindupindu ni matokeo ya uchafu! una maanisha nyie usafi hadi aje mbunge? sorry for disturbance
 
Wamekosa kazi ya kufanya hao.

Heri wao wanajihusisha na sanaa kuliko nyie ccm mnaofanya biashara ya dawa za kulevya na kuwarubuni vijana wenu wa GREEN GUARD kuwa punda wenu wa kuwabebesha madawa ya kulevya, eti "TUNAWAFUNDISHA UJASIRIAMALI" !!!!!!!!!!!???

Sasa mwambie MWIGULU au IDDI AZZAN akawakomboe vijana wenu 200 wa GREEN GUARD huko HONG KONG.
 
kipindupindu ni matokeo ya uchafu! una maanisha nyie usafi hadi aje mbunge? sorry for disturbance

Hawa ndio wale ambao wanaenda kuwamwagia tundikali majirani zao wa dini tofauti halafu wanalalamika kuwa Kikwete kawaletea ugomvi!!!
 
Back
Top Bottom