kibogo
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 9,739
- 4,732
Hicho chombo cha Dola ndo kilicho husika halafu unasema angekuwa amekwisha peleka huo ushahidi hicho ni kitu kinachowezekana kweli?sasa jamani,Mbowe angekuwa na ushahidi huo si angeshau submit kwenye vyombo vya dola?huyu mheshimiwa anatuhadaa,anachezea akili za watanzania