Mwisho wao umekaribia,hatukutarajia kusikia yote haya,tuombe Mungu awaanike na wengine japo serikali hii dhaifu inayonuka rushwa haitowachukulia hatua yoyote
Maafisa watiifu washayaandaa majalada ya Kesi Zao ....pale GSO...wanasubiri mzalendo atakayeingia 2015 au Siku za mbele yake ...wamkabidhi ...Watu wanafunguliwa hadi Kesi za miaka 50 iliyopita hii 10 haitupi shidaa.....iwe Saidi L au Juma P ...au Yule Said G ambaye vijana wa Taifa washaamua kumfanyia kazi ..haijalilishi....
huu ni utabiri wa hali ya hewa aka utabiri wa nyota
cc
mleta mada
tumpongeze mwakyembe kwa kazi nzuri anayoifanya lakini tusitumie mda huo kuchafua wasiohusika
halafu cha ajabu Thread kama hii huwezi kuta Ritz, Rejeo, HAMY-D na co wao wanachangia chochote lakini kwenye Current User wanaopitia thread utawakuta.Phillemon Mikael mnawasaidia sana kusema wazi lakini nashangaa wenye dhamana wanazunguka tu mbuyu!!
Mkuu ni yupi kati ya hawa?
Juma Pinto? Kaaazi ipo...!
Point wazee wenu wanalipa shule bure hasara tupu
halafu cha ajabu Thread kama hii huwezi kuta Ritz, Rejeo, HAMY-D na co wao wanachangia chochote lakini kwenye Current User wanaopitia thread utawakuta.
kweli huyu ni MAFIA,tutamfanyia kazi ajue kuna kazi nyingine za kufanya...lazima akanyooshwe SEGEREA au KEKO hakuna kutoka MAISHA na ndugu zake wajiandae kama wamo kwenye hili gameMkuu ni yupi kati ya hawa?