Masogange awataja wamiliki wa mzigo aliokamatwa nao SA

Status
Not open for further replies.
Yaani hii nayo ni nzuri Rais wetu ndio kichaka cha washenzi wote, inakuaje? Huyu ameshindwa kushika dhamana ya nchi jamani inakuaje uarabuni social media ilileta mabadiliko sisi tunasubiri nini huyu bwana hawezi kubadilika mpaka pale tutakapombadilisha sisi, mim sijui tuna mategemeo gani na huyu. Kila mshenzi ni swahiba wake, Home shopping center kauwa watu wengi, ka suffocate sector nzima ya clearing and forwarding watu wamepoteza biashara na serving zao za maisha yote, lenyewe linaenda ku boot lick.

Huyu Pinto ndio aliyeiba ba Blandina Nyoni hela za matangazo ya utalii eti wameweka kwenye mabasi ya gorofa uingereza, ndio kipenzi cha bwana mkubwa, Papa Msofe baada ya kumtapeli yule mama wa kiyahudu dola laki 750 na kumpandikizia mama wa watu dawa za kulevya na kucheza mchezo wa kumpiga deportation yule mama alitaka kufa siku anaenda Ikulu na kupishana na Papa Msofe, kuuliza huyu kafuata nini anaambiwa katoka kwa swahiba wake mkulu, alichoka, haya Jizi la Rada ndio rafiki yake, Jambazi lililotaka kumuua Mwakyembe na gari zilizowabeba wauaji kujulikana ni za Caspian ndio swahiba wa Mkulu.

Kichefuchefu jamani huyu habebeki tena, nashukuru
 
Hawawezi kukamatwa wangekuwa wametajwa wa chadema hapo ndo mgeona mkono wa sheria unavyofanya kazi
 
Hawawezi kukamatwa wangekuwa wametajwa wa chadema hapo ndo mgeona mkono wa sheria inavyofanya kazi
 
Vijana wanapoteza malengo yao kisa madawa ya kulevya, wahusika wasakwe haraka bila kujali ukada wao Kwa CCM!
 
Hivi naota haya majina au ni kweli hawa watajwa wanafanya biashara hii? Kama ndivyo tuombe Mungu atusaidie lakini kwa hali ya ubinadamu hatutaweza.
 
Ah hii inchi watatajwa na 2tawajua lakini hamna hatua zozote zitakazochukuliwa juu yao. Eg kwani wale waliokamatwa wameshirikiana na balali leo wapo wapi c mtaani wanakula AVIAN
 
ILANI ;- Wana JF na wachangiaji wenzangu na waaungwana wetu wote TAFADHALINI tuwe makini na bila upendeleo tunapotoa COMMENTS zetu.
Kila la heri
 
Vijana wanapoteza malengo yao kisa madawa ya kulevya, wahusika wasakwe haraka bila kujali ukada wao Kwa CCM!

Tuhuma za madawa ya kulevya zimeanza kitambo ila cha ajabu hakuna mtu yeyote anayehusika na dili haramu kama hizi aliyechukuliwa hatua zaidi ya hawa watumiaji na wauzaji wadogo wadogo. Inaonekana ni dili za vigogo na watu wazito ndo maana zinaishia kimya kimya. Baadhi ya viongozi wanasikika wakilalamika tu bila kuchukua hatua kukomesha vitendo hivi haramu.
 
Uko mbali na masogange njoo utulize mtima wanguuu x2
... Hawa wasanii majanga! Who knows the death of alberto cud be behind the mapouda saga! Siku hz wabongo kuingia sauzi unakaguliwa mpaka kwenye bikini



Si Wabongo wote huvaa @#BIKINI mkuu....ninadhani umeteleza tu
 
Taifa linaangamiza nguvu kazi yake, je taifa la namna hii lina haja ya kuwepo kwenye ramani ya dunia??????????? Wajameni mnisaidie hizi nyimbo za Tanzania kisiwa cha amani ni za kweliiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!!!??????????
 
Habari wakuu jana kulikuepo taarifa kuwa msanii aliyekamatwa na dawa za kulevya AGNES MASOGANGE ametaja waliombebesha madawa utafiti mdogo niliyofanya umebaini ni hawa:

1. JUMA PINTO Ambaye ni mmiliki wa JAMBO CONCERPT (Gazeti la Jambo Leo)
2. Mtoto wa kigogo ni KINJEKITILE NGOMBALE MWIRU (Mtoto wa kada wa CCM)


JUMA.jpg

Juma pinto kulia akiwa na kada mwenzake mkereketwa wa CCM le mutuz

juma2.jpg
Juma Pinto na mzee ruksa

juma3.jpg

Juma pinto na January

juma4.jpg
Juma Pinto na mwakyembe

juma5.jpg

Juma pinto na PRINCE R ONE


Juma Pinto inaonekana ni mdau muhimu sana CCM.
 
Haya wanaJF wamwagikeni, mlikuwa mnasubiri nani aanze kutaja majina mlete vitu jamvini
 
Kweli serikali ina makosa kwa vyovyote vile
Hebu tujiulize hivi watanzania wanachenga bingo ya aina gani kila leo matajiri wanaibuka kama uyoga hizi pesa wanatowa wapi?
Watu wa kodi wako wapi nchi hii kila leo wanapandisha kodi wao na wabunge wakifikiria kodi mpya kuwaumiza walala hoi wakati matajiri wa aina ya uyoga wakichomoza kila leo bila kujulikana pesa wameitowa wapi na hata kama wana biashara halali lakini ukiangalia kodi wanazolipa hazilingani na utajiri walionao
Hiyo pekee inatueleza kuwa kuna biashara zaidi ya hiyo wanayoiandikisha kule BRELA na watu wa benki pia wanahusika hivi benki hakuna idara ya usalama wa fedha na ufuatliaji?
Nchi hii ina sheria zote kali za kuzuia mmomonyoko wa maadili lakini zimebakia kwenye vitabu pamoja na wanasheria wao
Kama uongozi hautobadilika na kufuata sheria hakuna kitakachobadilika isipokuwa maumivu kwa watu wa chini,
Hiyo biahsra wanaofaidika ni wachache na wanaoathirika ni wengi, na hii yote tunaochangia ni mimi na wewe kwani kila mtu akijikubalisha kufuata sheria na kuwacha matamanio ya utajiri wa haraka basi hao wachache hawatoweza kufanya biashara hiyo
Kumbuka mimi na wewe ndio tunaoweza kuanza kuchukuwa hatuwa lakini tukisubiri viongozi tutasubiri sana

Kumbuka mimi na wewe tumeifanyia nini biashara hii kuikomesha? sio kupiga kelele kwenye mitandao na huku tukishiriki kwa njia nyengine,
Sisi wananchi ndio tunao uwezo wa kuikomalia biashara hii na sio viongozi, sisi ndio tuliowaweka viongozi, hawakuzaliwa viongozi
anza leo kupiga vita, kama wewe ni mlinzi basi usiruhusu kitu hii kupita kwenye sehemu yako ya kazi, kama ni ofisa wa bandari usikubali kutumiliwa,
Tunahisi ni vigumu kuipiga vita hii kitu lakini tukiamua tunaiweza
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom