Baba Ilankunda
Member
- Apr 26, 2013
- 57
- 86
Inasemekana kuwa Zanzibar na Tanganyika viliungana na Tanzania ikapatikana.
Ukiwa Tanganyika kama unatokea Zanzibar kwako ni ruksa kila kitu, ila ukiwa Zanzibar umetokea Tanganyika ndipo majanga yanaposhamiri.
Huwezi tumia Lesseni ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa amani mpaka uwe na Foreigner Driving Permit kama hii niliyoiambatanisha hapa:
Then Muungano huu uko wapi? Midomoni mwa watawala? Mbona Mwaniita wa kuja na mwenge wakati mie nimekuja na boat ya AZIZA