kahtaan
JF-Expert Member
- Jul 11, 2009
- 18,695
- 11,301
Azzan tema mate chini everybody knows that yuh a drug dealer haya hadi punda kakutaja njoo ujibu ile mil150 uliyopigwa na wajanja kwa kukuuzia kiwanja feki mbona haufatilii oysterbay mwendo wa kesi? Ghorofa unalojenga pale kona geleji limeisha? Daladala zako zishafika 50?
Ukiskia udaku na wivu ndo huu!
Unaposema everybody knows! Unakuwa umeongea pumba tu!
If that is the case. Basi huyu jamaa angeshakuwa jela looooong time!