nimekaa leo nmemkumbka baba wa taifa hili enzi hizo lilikuwa kimbilio la mataifa mbalimbali na lilikuwa taifa la kupigiwa mfano África, sasa limekuwa shamba la bibi kila mtu anafanya anachokiweza ili atajilike madawa ya kulevya sasa la kulevya ruksa,ujangili ruksa,maofisini ufisadi ruksa. Amani haipo tena ukikosoa serikali unakamatwa,cku hizi hakuna maandamano ya kupinga kitu chochote usamos afadhali kuishi chini Hitler uliko kuishi chizi ya serikali ya ccm wanaobaka haki za watanzania siku zenu zinahesabika wananchi tuna hasira na taifa hilo linavyoendesha kiimura tuombe