Mashtaka ya ugaidi Tabora yafutiliwa mbali, Henry Kilewo na wenzake 4 huru kwa tuhuma hizo

Hii ni aibu tosha kwa Jakaya Kikwete, aliwaambia wana-CCM pale Dodoma eti Mwigulu ndiye anayewaweza CHADEMA. Matokeo yake akamfanya Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara. Hivi ni kweli kwamba JK hajui reputation ya CCM ndani na nje ya nchi? Hadi kuchagua na kuwashabikia watu O.V.Y.O. na T.A.KA TA.KA kama Mwi.g.u.lu? kukiongoza chama!

Anawachukua kina Nepi, kina Tembo laga kukiongoza chama? Hivi ni kweli kwamba CCM imekosa watu wakukionesha chama staha yake, hadi ateuwe watu vicha.ka hawa. Wananu.ka UVUNDO kila sehemu ya maungo yao kwa tuhuma kedekede, kuanzia wizi, rushwa, ubadhirifu, UFISADI, ukware na ubakaji (yamkini, hata ulawiti), UHUNI, uzandiki, udhulumati, ulimbukeni,WATU wasio na hofu kabisa ya Mungu, wang'oa kucha na meno ya watu pasipo ganzi, wauza na wanunuzi wa viungo vya albino, wanyhwa damu za watu(vampire), magaidi, na kila uovu uu ju yao.

WANA TABIA MOJA NDIO MAANA WALICHAGUANA SI BURE JAMANI!
 
Tanzania aibu balaaa kwa mambo mengine, wanaweza shika hata mama lishe na kufunguliwa kosa la ugaidi walah
 
Sasa wananchi tumeanza kuelewa sasa hapo nani mkweli CCM na CHADEMA mana kesi zote ccm wamemwagwa
 
Kaa pembeni wewe usie hata na chembe ya aibu! Kwani Mohamed Saidi alikurudishia lini akili yako? Hata hii "comment" ya sheria ya ugaidi uliyoitoa hapa sio yako bali ni mawazo ya shetani Mohamed Saidi.
Bavicha mna matatizo sana, nikae pembeni wapi sasa, Mohamed Said, kiboko haipiti muda lazima umtaje.
 
Ninawahurumia askari wetu kwa kufanywa vikaragosi na "chama cha magaidi - CCM". Hongereni sana makamanda, sisi tuna Mungu wao wana................
 
Kama nimekosea naomba mnurekebishe,wale watuhumiwa wanne wa mwamnzo katika kesi ya ugaidi iliyomhusisha Mh,Henry kileo na wenzake wanne kabla ya kuunganishwa na mashtaka mapya ya ugaidi walisha shitakiwa kwa kesi ya kudhuru mwili na mahakama ya Igunga ilishawalifutiwa hiyo kesi na kuwaachia huru ndipo wakakamatwa tena wakafunguliwa hii ya ugaidi sasa itakuwaje.

Inamaana ilekesi ya mwanzo ya kudhuru mwili imefufuka tena au?

HESHIMA KWENU MODS NAOMBA MSIUNGANISHE UZI HUU

umoja ni nguvu mama ndani ya gwanda.

@ Elizabeth Dominic nakuona, :wave: Mpaka Kieleweke!
 
Tunachotaka ni kulipwa kwa defamation CCM ni mabazazi, wameharibu reputation yetu
 
Bavicha mna matatizo sana, nikae pembeni wapi sasa, Mohamed Said, kiboko haipiti muda lazima umtaje.
Huna jipya wewe msukule wa Mohamed Saidi! hujawahi katika maisha yako yote kujitegemea kwa fikra wala mawazo! unaburuzwa kama kwama, leo vibaka wenzako wameumbuka ati unajitokeza kulaani sheria ya ugaidi na kujifanya eti ni mawazo yako wakati hizo ni kelele alizo kwenda kuzipiga Mohamedi Saidi kule Nigeria akiwa amezibeba kwenye ule mkoba wake wa kishirikina!
 
Jaji amemaliza kutoa hukumu yake na kufutilia mbali tuhuma za kosa la jinai lililokuwa likiwakabili makamanda wa CHADEMA, Henry Kilewo na wenzake.

Ametoa ufafanuzi juu ya tuhuma za ugaidi zinazosemwa na kuenezwa na wanasiasa.

Keep you updated

Makene

--------------------------------

attachment.php

Hii ni aibu nyingine kwa Mwigulu Nchemba baada ya ile aibu ya kichapo cha 4:0 kule Arusha. Lakini huyu mtu anafahamu definition ya Ugaidi? Hebu achukue kamusi ili asome afahamu maana ya neno ugaidi. Nina wasiwasi na shule yake aidha hakwenda kabisa au hata kama alienda alipita kama ng'ombe wanavyopita katika josho lisilokuwa na dawa.
 
Mwiguru Nchemba ni janga la kitaifa, wanairamba huyu jamaa anawacheleweshea maendeleo, pigeni chini 2015
 
Huyo ni jaji wa chadema.

Unataka kutoa single mpya au? Maana single zote alizotoa Mwigulu zimeishia kukosa soko kwa kujifanya yeye ndio polisi, mpelelezi ni yeye, DPP ni yeye,hakimu ni yeye na sasa kaangukia pua. Shame upon Mwigulu and u.....
 
Kumbe joyce kiria ni chadema? Nimemwona kavaa kombati kwenye kesi ya mumewe tabora na kabiga vile vidole viwili (antena)akifurahia mahakama kufuta kesi ya ugaidi
 
Iko poa sana bado tumuombe amalize kesi yote vizuri, kwani ugaidi imefutwa bado nyingine zimerudishwa IGUNGA.

MUNGU BABA TUSAIDIE KUMALIZA KESI HII ILIYOBAKI, ASANTE.
 
Back
Top Bottom