Hebu nenda kalipe kodi badala ya Kuwa unalia hajasema wakazi amesema wafanyabiashara wenye turnover ya chini milion 4 au wamachinga. Sasa nikuulize wakazi wote wa Dar ni wamachinga? Tufanye kazi na kulipa kodi hutaki rudi kijijini ukalime.
Hebu Mshauri basi Mzee akubali tu zanzibar wajiendee kwavile ni hasara kubwa kwenu uone jinsi Znz itakavyobadilika. Kwanza wazanzibari washajistukia ndio maana umesikiliza hotuba wanachanja mbuga (Uchumi umepaa wakati huku kwetu unachechemea). Au unadhani ile 6.3% imetokea wapi
Mkuu Paskali,
Heshima yako kwa hoja hii je na Mlima Kilimanjaro, Ukanda wa pwani Km 12 ndani kutoka Lamu hadi Msumbiji na Rwanda na Burudi je unasemaje? Ulimsikia Professor Sharif wa Zanzibar alisema nini kuhusu waingereza na Tanganyika?
Takwimu zako ziweke vizuri 2020 utazihesabu vizuri, si mlikuwa mnapigia debe mgombea wenu wa mabadiliko na yule mwengine padri, na kote mkashindwa. Sasa subirini maajabu 2020.
2020 sio mbali The Big Show. Vumilia si unajua wenzetu wanasema hatujasoma sisi wazee wa kariakoo japo vyuoni na uraiani wasio na kazi na degree vijana wetu wapo wengi.
Sijamuona mufti hapo kwahiyo sidhani kama Bakwata wameshirikishwa labda ile kamati ya amani na vijana wa mujini (maana hadi mboni ndani duh! ). Hapo dili kwenda mbele. Naomba urekebishe kauli yako.
Mahakamani kwa fine ya 30,000 halafu kesi karani aipige kalenda miezi, unategemea mtu anapata haki yake. Unapoteza pesa nyingi kwa ajili ya kuokoa 30,000. Kimsingi polisi kuna idara ya maadili ichunguze madai haya ama sivyo wananchi watakuwa wanabambikiziwa makosa pasina sababu ya msingi. Hilo...
G Sam ni kweli polisi sasa hivi wamekuwa wanalazimisha makosa ili wakufaini, Tafadhali magufuli tunaomba utusaidie, jana nimepewa kosa ambalo silielewi mtu hajafunga mkanda yuko siti ya nyuma naambiwa dereva ndio alipe fine. Sasa nimeangalia Traffic Act sijaona mahali natakiwa dereva nilipe fine...
Al-akh Dr Dau kamaliza kila kitu katika speech yake fupi iliyojaa hekima na busara. Wenye kuelewa wameelewa wasioelewa wakale viwembe. Wazee wa fitna sijui wamelala wapi sasa hivi
Mzee vp umeguswa nini maana majipu huwa na mizizi sehemu na wewe ndio mzizi wenyewe nini magufuli kakugusa. Vumilia au achia ngazi hizi ni zama mpya za uongozi.
Wazee wa husda mpo na shughuli imeisha mliyemtaka kaja na kazungumza semeni jengine. Bado fitna zenu mlizopeleka za kuchukua CAG report isiyokamilika mkadai imekamilika uchunguzi unaendelea mbivu zitajulikana tu.
Hawa watwana inabidi niwakaribishe kahawa ya tangawizi inasaidia kupunguza fukuto la roho walilonalo dhidi ya mzee wa watu. nawashauri mtengeneze kahawa ya tangawizi inasaidia kuondoa fukuto la roho na chuki
Kibao kimegeuka kuna watu watatoka from ubossi hadi kunyea ndoo segerea wewe subiri. Unafiki mbaya sana anyway wacha nikanywe kahawa pale cosmopolitan sheikh wangu. Si unajua sisi waswahili wa gerezani hatujasoma bana.
Alipokuwa Utoah hakuwa akitumika kusafisha wakorintho wenzie acheni unafiki subirini haki itendeke. Mkuu wetu si kasema anamuogopa mungu basi kama ni kweli basi atafanya haki. Sina shaka na utendaji wa Assad ni mpenda haki na wote UDSM wanamjua hata Mukandara namba anaisoma kwa Assad. Subirini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.