Emc2
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 16,808
- 16,836
Wamepewa na nani?Ni kweli haingii akilini lkn kinachozungumziwa hapa legitimacy ya madai ya malawi. Malawi wamepewa ramani inayoonyesha ziwa ni lao sasa wamekosea nini?
Wamepewa na nani?Ni kweli haingii akilini lkn kinachozungumziwa hapa legitimacy ya madai ya malawi. Malawi wamepewa ramani inayoonyesha ziwa ni lao sasa wamekosea nini?
Waulize watu wa Kyela, Nyasa na Ludewa ndipo utoe uharo huo. Kwani ziwa Tanganyika linatusaidia nini watu wa Ruvuma? ikitokea mgogoro na DRC tucomment halitusaidii?Hata mi naona wapewe ziwa lao lote isitoshe halitusaidii chochote
Watagundua wamekosea pale bwawa kubwa lichimbwe mto Ruhuhu, level ya maji ipungue ziwani ndo wanaweza kuona wapi wamekosea.....maana kusema maji yote ni yako na kuwaambia wengine waishie kwenye mwambao kwa sababu mkoloni alisema hivyo, simply ni kukosa rational thinking.Ni kweli haingii akilini lkn kinachozungumziwa hapa legitimacy ya madai ya malawi. Malawi wamepewa ramani inayoonyesha ziwa ni lao sasa wamekosea nini?
Hapana hawajasema ziwa ni lao ramani ndiyo imesema kwahiyo cha msingi ni kuibadilisha ramani sio kuwalaumu malawi kwani hawajaichora na wala hawajahusishwa kwenye ngazi yoyote ya uchoraji wake.Watagundua wamekosea pale bwawa kubwa lichimbwe mto Ruhuhu, level ya maji ipungue ziwani ndo wanaweza kuona wapi wamekosea.....maana kusema maji yote ni yako na kuwaambia wengine waishie kwenye mwambao kwa sababu mkoloni alisema hivyo, simply ni kukosa rational thinking.
Mkuu nakuunga mkono, lakini kwa hali hii tuliyonayo ya kiuchumi si rahisi kuingia vitani sabb vita ina gharama kubwa sana. Na kama tutathubutu basi tutegemee kipigo cha aibu. Hali ya uchumi ni mbaya na tunakoelekea ni pabaya sanaWaache bange wafanye kama alivyofanya Idd Amini ili tumfanye kama tulivyomfanya Idd Amini shenz zake
Kifupi waambie waje walinde nchi yao. Lakini wakiingilia mipaka yetu tunawaondoa kwa nguvu.Hapana hawajasema ziwa ni lao ramani ndiyo imesema kwahiyo cha msingi ni kuibadilisha ramani sio kuwalaumu malawi kwani hawajaichora na wala hawajahusishwa kwenye ngazi yoyote ya uchoraji wake.
Wewe bwana chikundu naona umetumwa si bure, kama mnajiamini ingieni basi mlichukue hilo ziwa. Mikelele ya nini sasa kama mnaona ziwa ni lenuHapana hawajasema ziwa ni lao ramani ndiyo imesema kwahiyo cha msingi ni kuibadilisha ramani sio kuwalaumu malawi kwani hawajaichora na wala hawajahusishwa kwenye ngazi yoyote ya uchoraji wake.
Hao ni walewale wa Lilongwe!!Hata Iddi Amini alikuwa na maneno kama yako,
halafu nyie kina chi.... che.... lazima tuanze kuwaangalia kwa darubini kali.
Acha woga ,tangaza vita hata sasa hivi ndo uone moto wetu,huu uchumi ni mzuri kuliko wakati wa vita vya kagera, waambie waseme suuuuuu ,hatujaribiwiMkuu nakuunga mkono, lakini kwa hali hii tuliyonayo ya kiuchumi si rahisi kuingia vitani sabb vita ina gharama kubwa sana. Na kama tutathubutu basi tutegemee kipigo cha aibu. Hali ya uchumi ni mbaya na tunakoelekea ni pabaya sana
Kwa kawaida kelele za jirani haziwezi kumkosesha mwenye nyumba usingizi. Mipaka ya kwenye maji, bahari, mito na maziwa ina formular yake ya calculating, hivyo waacheni Wamalawi wajifurahishe tuu, mwisho wa siku mpaka ni pasu kwa pasu kama ulivyowekwa na ule mkutano wa Berlín wa 1884 na sio mkataba wa Hellingoland kwa sababu Waingereza walikabidhiwa Tanganyika just as a protectorate na sio colony, huwezi kumega kipande cha kitu cha dhamana na kukimegea koloni lako.
Paskali
Malawi hawaoni ziwa ni lao bali ramani ndio inaonyesha hivyoWewe bwana chikundu naona umetumwa si bure, kama mnajiamini ingieni basi mlichukue hilo ziwa. Mikelele ya nini sasa kama mnaona ziwa ni lenu
Ramani ipi?Malawi hawaoni ziwa ni lao bali ramani ndio inaonyesha hivyo