Video na Picha: Rais Magufuli afuturisha viongozi mbalimbali

JPM tayari ameanza kujisahau, badala ya kutumia pesa hiyo kuongeza mabasi 6 yaendayo kasi anafuturisha watu wenye uwezo wao badala ya maskini.

Sheikh wangu wa mtaa nakutuma niombee kwa mwenyeji wenu hata vijiko kadhaa vya sukari huku saiti uji haupandi.
Unafahamu umuhimu wa futari katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhan?
 
Ang'efanya jambo jema kama ang'eenda kufuturisha wazee wasiokuwa na uwezo siyo hao waliojishibia matumbo yao.
Sidhani kama anapáswa kulaumiwa!
Najua 100% atakuwa alituma mualiko BAKWATA na wao ndio watakuwa wamekuja na team hiyo!
Lakini hata hivyo raisi hajafuturisha kwa lengo la kuwatafutia suluhu wenye njaa! Yeye atakuwa symbolically ameonesha ushirikiano mwema na waislam! Kama alivyoenda Azania front au kwa mzee wa upako!
 
Sijamuona mufti hapo kwahiyo sidhani kama Bakwata wameshirikishwa labda ile kamati ya amani na vijana wa mujini (maana hadi mboni ndani duh! ). Hapo dili kwenda mbele. Naomba urekebishe kauli yako.
 
Sijamuona mufti hapo kwahiyo sidhani kama Bakwata wameshirikishwa labda ile kamati ya amani na vijana wa mujini (maana hadi mboni ndani duh! ). Hapo dili kwenda mbele. Naomba urekebishe kauli yako.
Sheikh Jongo ametajwa kama Kaimu Mufti na ametoa rai katika State House podium
 
mnawawachukiya waislam sana kwani akitufiturisha nini chaajabu? tunafunga siyo kufunga nyama tu!tunazuiya kila kitu kwani yeye Raisi halioni hilo? magufulu baba usiwasikilize hawa ukawa ndiyo walivyo tusumbua wakati tunakuchaguwa futurisha kwa ajili ya Allha
 
Nani alikuwa anagawa kadi za mwaliko? Mbona wamegawiana kwa kujuana tu?

Mkuu, hii mialiko huwa kwa watu maalum Tu.
Ni yale yale ya " wazee wa Dar es salaam" halafu unagundua kwamba katika kata yako hakuna hata mzee mmoja aliyepata mwaliko.
 
Sijamuona mufti hapo kwahiyo sidhani kama Bakwata wameshirikishwa labda ile kamati ya amani na vijana wa mujini (maana hadi mboni ndani duh! ). Hapo dili kwenda mbele. Naomba urekebishe kauli yako.
Mufti yuko safarini nje ya nchi kikazi.

Rais aliongea naye kabla ya kukutana na viongozi wa dini.

Maelezo ametoa Rais kwenye video hii kama unataka kufahamu zaidi kuhusu safari ya Mufti nje ya nchi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom