Sherehe za Mapinduzi: Fahali wawili hawakai zizi moja

Shinyanga ni mkoa mkubwa kuliko huo wa Zanzibar so wengi wape.Pili imba nyimbo zote upendavyo lakini amiri jeshi mkuu ni mmoja tu naye ni JPM fullstop!

Hebu Mshauri basi Mzee akubali tu zanzibar wajiendee kwavile ni hasara kubwa kwenu uone jinsi Znz itakavyobadilika. Kwanza wazanzibari washajistukia ndio maana umesikiliza hotuba wanachanja mbuga (Uchumi umepaa wakati huku kwetu unachechemea). Au unadhani ile 6.3% imetokea wapi
 
Mkuu usiogope haya ni mambo aambayo wananchi tulipaswa kuyafahamu.
BTW kuongelea muungano ni uchochezi?
Mkuu riselikali la sasa halitaki kabisa uzungumzie hizo issue! Wanataka wananchi hatakama tuna njaa tuseme tumeshiba.
 
Hebu Mshauri basi Mzee akubali tu zanzibar wajiendee kwavile ni hasara kubwa kwenu uone jinsi Znz itakavyobadilika. Kwanza wazanzibari washajistukia ndio maana umesikiliza hotuba wanachanja mbuga (Uchumi umepaa wakati huku kwetu unachechemea). Au unadhani ile 6.3% imetokea wapi
Zanzibar ni soko la mbogamboga na nyama kutoka Tanganyika
 
Hata kidogo, tangu muungano 1964; rais wa jamhuri hajawahi kukosekana kwenye maadhimisho ya mapinduzi matukufu! It is another first of a kind; hali kadhalika maadhimisho ya muungano na uhuru wa tanganyika hayajawahi kuahirishwa hata mara moja!!! muda utaongea.

Labda kwenye hotuba yake baadaye huko lake zone atatusimulia nini kimetokea, ataongea kutoka moyoni.
 
hili la tanganyika na zanzibar katika sherehe za kitaifa zinazolihusu taifa la zanzibar ni mkanganyiko mno, wakati flani walikataa kua zanzibar sio nchi leo imedhihirika kua ni nchi na ina amiri jeshi wake mkuu,
 
Gogo limeishakatwa , linasubiri upepo tu lidondoke , sisi wenye akili tumekwisha fahamu kwamba muda mfupi ujao Maalim atapewa chake , ndio maana watu wameamua kujiandaa kisaikolojia , pole sana Shein .
Sister, huchoki kutoa kauli zisizo na matokeo? Bado unaota ndoto za MSSH kupewa nchi? Hujakata tamaa?
 
Nyie UKAWA badala ya kujipanga kwenda kumtoa Lema, Lijualikali na kumtafuta Ben Saa 8. mnakomaa kujadili kwa nini JPM hakwenda Zanzibar. yaani nyie UKAWA kwa kweli hamjitambui. Sasa hi inawahusu nini wakati hii ni serikali ya CCM.?

Ya kwenu yamewashinda, mnakaa kujadili ya jirani zenu. amaa kweli mjinga ni mjinga tuu.
Wewe ndiyo mjinga usiyejuwa kuwa serikali ikishachaguliwa ni ya wote na si CCM peke yao
 
Wewe ndiyo mjinga usiyejuwa kuwa serikali ikishachaguliwa ni ya wote na si CCM peke yao

Nyie UKAWA acheni kujitoa akili. mlishakataa kwamba hakushinda mlishinda nyie, iweje leo mnaanza kujipendekeza eti rais wenu. si muende kwa lowasa wenu huko mkazungushe nae mikono.

huyu ni rais wetu CCM......alaaah.!
 
Back
Top Bottom