CAG aikana ripoti feki ya NSSF, asema ripoti itatolewa na Bunge Aprili 25

Nahisi kuna mtu kaogopa kashfa ya kuvujisha siri za serikali. Maana repoti haikupaswa kupelekwa magazetini before Bunge. Watanyooka tu
 
mjomba mkianza kuhusisha udini kwenye wizi ni hatari sana , tujitahidi kuficha haya mambo jamani , adui namba moja wa nchi hii ni ccm , haya mengine hayana msingi .


Mi nikikuta mwanachama wa ccm anapigana na nyoka namsadia nyoka
 
Tusubiri,lakini kusiwe na upishi wowote wa ripoti maana shamba la bibi hakuna linaloshindikana
 
Eti NSSF imenunua Hekta moja kwa Tshs.800 Million!!!
Kuna Vichwa Panzi hata ukiwaulize tofauti ya Management letter na Auditors Report ni zipi japo zote zinatolewa na CAG hawaijui, lakin wakajifanya Mafundi wakujadili Auditors Opinion.
Tanzania ushabiki mwingi sana!! Watu wanaendesha media kwa chuki... Visasi na kukomoana!!

Mpaka inatia kichefu chefu kusoma magazeti ya bongo..... Magufuli kaanza vibaya sana na hizi media ataishia kufanyia kazi majungu......
 
Al Habib Mdondoaji.

Huku kheri tupu wazambaza sumu wote wanaupita kwa mbali huu uzi kama hawauoni hamna kitu kibaya kama unafiki.

Kibao kimegeuka kuna watu watatoka from ubossi hadi kunyea ndoo segerea wewe subiri. Unafiki mbaya sana anyway wacha nikanywe kahawa pale cosmopolitan sheikh wangu. Si unajua sisi waswahili wa gerezani hatujasoma bana.
 
Mla Kitimoto una wenge balaa, tulia dawa iingie vizuri. Utouh hakumuona Dau kama mchafu?
kwa hiyo wewe msukule wa lumumba ripoti ya CAG unayo au umeiandaa wewe? hizo habari za kwenye magazeti mbona NSSF walishindwa kuzikanusha walipoendewa na wandishi? wewe ni nani hadi uje kuwakanushia choko we?
 
Nasubiri wazee wa chuki na husda watakavyokuja na kimuhemuhe cha kudai uongo, uzushi na maneno kibao. Dr Dau we will continue to respect and value your contribution to this country. Few visionaries leaders tulionao nchini wewe, Mchechu na Dr Rashidi Taifa iko siku watajuta mmungu atuweke hai tutakuja kuyasema humu humu
Hivi Dr. Rashidi yuko wapi siku hizi? Nilikua na mwanae USA kipindi Fulani but tumepitezana.
 
Hakuna namna ya kuutenganisha ufisadi wa Nssf na Assad,Assad alikuwa board members wa Nssf na sikuwahi nununa jengo LA Nssf tanga,hawezi kuleta taarifa sahihi za Nssf,hutaki poa
Acha uongo!! Assad ni miongoni mwa watu wastaarabu na washika dini sana!! Sio mwizi wala mlafi ila tatizo lake ni udini tu!! Yeye na prof Njozi wamewahi nipa supp udsm kisa mi sio dini yao.
 
Hivi Dr. Rashidi yuko wapi siku hizi? Nilikua na mwanae USA kipindi Fulani but tumepitezana.

Yupo anapumzika na likizo yake ya kustaafu huku akishushia pensheni yake aliyopata kutoka kuwa mkurugenzi mkuu wa benki ya Amana.
 
tulia sindano ziingie wewe mpuuzi mkubwa! unataka michango ya wanachana iendelee kufujwa na mchwa mpaka lini? tena utulie kabisa hizi fedha hazikuhusu.
Mkuu afadhali hiyo NSSF, huko PSPF ni vilio!! Jirani yangu kastaafu august mwaka Jana hajapewa mafao hadi Leo!! Sababu anaambiwa wanasubiri michango yake itimie huko then mfuko una hali mbaya!!
 
Back
Top Bottom