shinyangakwetu
JF-Expert Member
- Jun 25, 2015
- 2,454
- 2,359
Wale watokwa na mipovu sijui leo wanajiskiaje, wameweka husda while haziwaasaidii kitu zaidi kuonekana Machepe. Hongera Mh.Rais kwa kumpa heshima yake na kutambua mchango wake Dr. Ramadhan Dau
Mkuu hivi hata kitilya alimwagiwa sifa tele ila alitoka home na ndoo,magufuli syo Sheria wala TAKUKURU,vyombo kinafanya kazi yake,ni wiki iliyopita tu alizimia sasa subiria