Search results

  1. NDESSA

    Msaada: Muda gani ni mzuri kwa watoto kulala?

    Habari Wakuu, Kwa watoto wa chini ya miaka 5 mathalani mtoto wa miaka 3 ninachojua kwa kawaida inatakiwa alale mchana. Ninachotaka kujua kutoka kwenu ni kuwa hata kama mtoto amelala mchana je, kwa masaa yetu ya Tanzania ni muda gani mzuri anatakiwa alale usiku, mfano kama ni saa 1, saa 2, saa...
  2. NDESSA

    Mke wangu hapendi kufanya mapenzi

    Habari wakuu, Ninaishi na mke wa ndoa na tuna watoto ila mke wangu sijui niseme ni uvivu au kukosa hamu ya tendo. Kila mara mimi ndio huhitaji kufanya tendo na mara nyingi hunipa kuniridhisha ila yeye ni mara chache kuwa na hamu na kuanzisha kutaka kufanya tendo lenyewe. Mimi sio mtu wa...
  3. NDESSA

    Msaada: Nimuambie mke wangu kama nina mtoto nje ya ndoa?

    Habari wakuu, Kwa kifupi naishi mkoa tofauti na mke wangu kwa sababu za kikazi, sasa katika pitapita zangu kapatikana mtoto. Wife bado hajajua chochote kwa sababu hakai sana hapa ila najua kwa baadaye itakuja kufahamika kwa sababu kuna watu wanajua. Sasa nataka kupata ushauri au uzoefu wa...
  4. NDESSA

    Kuna Demu staki nataka

    Wakuu kuna demu nimetongoza vizuri kakubali,sasa jana aliniahodi atakuja akanitajia na muda kabisa,akanijulisha yuko barabarani anasubiri gari,nikamuambia kama usafiri shida nimfuate akasema atanijulisha ikawa ndo kimya hakujibu msg wala calls mpk asbh.Leo nimemcheck kasema anakuja sasa tangu...
  5. NDESSA

    Msaada: Machine ya kutengeneza Chopstick (Lambalamba)

    Habari wakuu, Kama kichwa kinavyoeleza nahitaji hiyo machine kwa anaefahamu wapi zinauzwa au anauza nitashukuru kuelekezwa. Asanteni
  6. NDESSA

    Nahitaji machine ya kutengeneza Chopstick (Lambalamba)

    Habari wakuu, Kama kichwa kinavyoeleza nahitaji hiyo machine kwa anaefahamu wapi zinauzwa au anauza nitashukuru kuelekezwa. Asanteni
  7. NDESSA

    Naomba kujua kama kuna Chuo Tanzania kinatoa Course zinazohusu masuala ya Wakimbizi(Migrants)

    Habari wakuu, Kama kichwa cha habari kinavyoeleza nataka kujua kama kuna chuo kinatoa kozi yeyote inayohusiana na masuala ya Wakimbizi. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. NDESSA

    Natafuta Soko la Mayai ya Kienyeji

    Wakuu mimi niko Morogoro,ninakusanya mayai ya kienyeji na kuyauza. Nahitaji soko kubwa la Dar,Moro na Dodoma. Huko kote nitamfikishia mnunuzi kwa Tsh 15,000 kwa tray moja.Gharama za usafiri juu yangu. Kama unahitaji au una connection usisite.
  9. NDESSA

    Naomba ushauri juu ya ubora wa Corolla splinter

    Kuna gari tajwa hapo juu inauzwa na mm nahitaji gari naomba uzoefu juu ya aina hyo ya gari.Year of manufacture 2000. Naomba kujua ubora/uimara wake,fuel consumption etc
  10. NDESSA

    Kilimo cha Mahindi Dakawa

    Wakuu Mwenye uzoefu wa kilimo cha mahindi Dakawa kuanzia upatikanaji mashamba ya kukodi,kulima,mavuno na makadirio ya gharama kwa heka kuandaa shamba mpaka kuvuna. Natanguliza shukrani.
  11. NDESSA

    Msaada: Lodge/Hotel Zanzibar

    Wakuu naomba anaefahamu kuhusu Malazi Zanzibar kwa budget isiyozidi 60k anisaidie. Thanks
  12. NDESSA

    Msaada kuhusu EWURA Electrical Installation Licence

    Habari wanajukwaa, Naomba kwa anaefahamu faida za leseni tajwa kwa mtu mwenye fani ya umeme maana watu wengi wamesoma ila mwamko wa kuchukua leseni sio mkubwa.
  13. NDESSA

    Msaada:Kati ya Pharmaceutical science na Vertinary Medicine

    Kama kichwa kinavyoeleza je kati ya hzo course kwa diploma ipi ya msaada zaidi mtaani ukimaliza?
  14. NDESSA

    Principal wa Arusha Technical College Eng Dr Richard Masika amestaafu?

    Kwenye ukurasa wa Facebook wa chuo wameweka picha za matukio mbalimbali ya kumuaga mkuu huyo huku picha hzo zikiwa hazijawekewa maelezo (caption) lakini kuna page za baadhi ya staff wamepost huku wakiweka maelezo ya kumuaga mkuu huyo kwa kifupi. Je mkuu huyu amestaafu au ni uhamisho? Dr Masika...
  15. NDESSA

    Msaada course ya Pharmaceutical sciences

    Wakuu naomba kwa wanaofahamu vizuri uzuri wa hii course mtaani kwa soko la ajira au kujiajiri. Na je kati ya hiyo Pharmaceutical na Medical Laboratory ipi ina solo zuri kuajiriwa au kujiajiri. Asante
  16. NDESSA

    Selection vyuo vya kilimo 2017/18 zimetoka?

    Wakuu Mwenye taarifa juu ya mada tajwa msaada.
  17. NDESSA

    Ages ni Mrembo anaekuja kwa kasi kukimbizana na Gigy kwa picha za utupu

    Sent using Jamii Forums mobile app
  18. NDESSA

    Naomba kufahamu malighafi zinazotengeneza pete za uchumba

    Wakuu naomba kwa wanaofahamu materials(eg Gold, Tanzanite) ambayo pete za uchumba zinakiwa kuwa nayo ambayo yanapatikana kwa sonara. Hapa namanisha common material ambazo hutumika kutengeneza pete ya uchumba ambapo ukienda kwa sonara ni kusema nahitaji pete ya aina flani. Najua pete za dhahabu...
  19. NDESSA

    Lodge ya kufikia wilayani Kyela-Mbeya

    Wakuu naomba mwenye kujua Lodge ambayo naweza kufikia pale Kyela ambayo haiko mbali na stand. Isizidi 20k. Kama nitapata mawasiliano kwa ajili ya booking sio mbaya. Asanteni Post sent using JamiiForums mobile app
  20. NDESSA

    Tahadhari: Foleni Morogoro rd Ubungo mataa mpaka Mbezi

    Kuna foleni muda huu hapa Ubungo mpaka Mbezi nasikia kuna matengenezo stop over. Mnaotumia njia hii tafuteni mbadala.
Back
Top Bottom