Nahitaji machine ya kutengeneza Chopstick (Lambalamba)

NDESSA

JF-Expert Member
May 2, 2013
1,923
2,000
Habari wakuu,
Kama kichwa kinavyoeleza nahitaji hiyo machine kwa anaefahamu wapi zinauzwa au anauza nitashukuru kuelekezwa.
Asanteni
 

Qurie

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
3,175
2,000
Mkuu Kuna mtu mmoja anaitwa biashara China mtafute uyo utapta mpya kutoka kiwandani from china
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom