Nenda kwenye mahotel mkuu ukazungumze nao.... hawatakuacha naaminiWakuu mimi niko Morogoro,ninakusanya mayai ya kienyeji na kuyauza.
Nahitaji soko kubwa la Dar,Moro na Dodoma.
Huko kote nitamfikishia mnunuzi kwa Tsh 15,000 kwa tray moja.Gharama za usafiri juu yangu.
Kama unahitaji au una connection usisite.
Unamaanisha Yai moja ni 500/-??Wakuu mimi niko Morogoro,ninakusanya mayai ya kienyeji na kuyauza.
Nahitaji soko kubwa la Dar,Moro na Dodoma.
Huko kote nitamfikishia mnunuzi kwa Tsh 15,000 kwa tray moja.Gharama za usafiri juu yangu.
Kama unahitaji au una connection usisite.
Bei hiyo ni juu huku tunanunua rejareja hiyo 15,000 kwa tray na yapo mengi sanaWakuu mimi niko Morogoro,ninakusanya mayai ya kienyeji na kuyauza.
Nahitaji soko kubwa la Dar,Moro na Dodoma.
Huko kote nitamfikishia mnunuzi kwa Tsh 15,000 kwa tray moja.Gharama za usafiri juu yangu.
Kama unahitaji au una connection usisite.
Salama boss, nimeona post yako hii, kama upo unaweza kufanya hivyo naomba unitafute tuyajenge tafadhali 0714028825Kama unaweza kuuza kwa 12000 njo tuongee biashara. Na je una uwezo wa kuleta mayai mangapi kwa wiki?
Salaam ndugu, kwa sasa sipo huko ndugu yangu.Salama boss, nimeona post yako hii, kama upo unaweza kufanya hivyo naomba unitafute tuyajenge tafadhali 0714028825