Msaada:Kati ya Pharmaceutical science na Vertinary Medicine

NDESSA

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2013
Posts
1,945
Reaction score
1,801
Kama kichwa kinavyoeleza je kati ya hzo course kwa diploma ipi ya msaada zaidi mtaani ukimaliza?
 
Mimi nafikiri uchague kile unapenda Zaidi, mtaani hakueleweki.
 
Kwenye VM hapo baba, kama ulimeza tu BS shallow shallow utamkumbuka mwalimu wako wa twishen
 
Kama kichwa kinavyoeleza je kati ya hzo course kwa diploma ipi ya msaada zaidi mtaani ukimaliza?
soma pharmacy for more diversity! hata duka la mifugo unaweza anzisha pamoja pharmacy huwa ni ya binadamu... it is easy to adapt mifugo tiba na haina ukiritimba... Ni maoni yangu! Ngoja wengine waje
 
Asante actually namuulizia ndugu yangu na tumeamua asome hyo Pharmaceutical.
 
Back
Top Bottom