Msaada: Muda gani ni mzuri kwa watoto kulala?

Msaada: Muda gani ni mzuri kwa watoto kulala?

NDESSA

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2013
Posts
1,946
Reaction score
1,801
Habari Wakuu,

Kwa watoto wa chini ya miaka 5 mathalani mtoto wa miaka 3 ninachojua kwa kawaida inatakiwa alale mchana.

Ninachotaka kujua kutoka kwenu ni kuwa hata kama mtoto amelala mchana je, kwa masaa yetu ya Tanzania ni muda gani mzuri anatakiwa alale usiku, mfano kama ni saa 1, saa 2, saa 3, etc?
 
Back
Top Bottom