Search results

  1. Mozu1991

    MSAADA WA BEI YA HIKI KIFAA ( SWITCH YA PUMP YA MAJI)

    Habarini , naomba msaada tafadhali mwenye kujua bei ya hii switch ya pump ya maji .
  2. Mozu1991

    Rivers United vs Young Africans(1-0) | CAFCL

    Habarin wadau, hivi hi mechi kati ya River United na Yanga itaoneshwa chanel gani? ======= Mechi kamishna Sulley Camara kutoka Sierra Leone amewaruhusu Yanga wacheze wote kwa kuwa hakuna cheti kuhalalisha kuwa wamekutwa na corona. Mpira umeanza kati ya Rivers United na Yanga 28' Rivers...
  3. Mozu1991

    Naomba kujua bei ya water float switch au bouyer

    Habarin za muda ,poleni na majukumu. Naomba kufahamishwa bei ya bouyer ( water float switch) linauzwaje
  4. Mozu1991

    Naomba kufahamishwa bei ya hiki kifaa bouyer (water float switch)

    Habarini za muda, Naomba niende kwenye mada , naomba kufahamishwa bei ya hiki kifaa bouyer (water float switch)
  5. Mozu1991

    Kucheua kwa binadamu kuna athari yoyote kiafya?

    Habarini za jioni, Poleni na majukumu na mihangaiko ya maisha ,naomba nirudi kwenye swali langu, naomba kuuliza kuna madhara yeyote kiafya kucheua chakula punde baada ya kula wastani baada ya nusu saa kwa binadamu.
  6. Mozu1991

    Msaada tafadhali, huwa napata maumivu makali baada ya tendo la ndoa

    Habar za mda huu wanajamv, naomba msaada....., huwa napata maumivu makal baada ya kumaliza tendo la ndoa , mwenye kufahamu hali hii inasababishwa na nn anisaidie
  7. Mozu1991

    Kubadilisha kituo cha kazi

    Habarin wana jamvi , naitwa mwalimu Umari .s .Mangumbe ninafanya kazi Mkoa wa Kilimanjaro wilaya ya Moshi (V) .Namtafuta mtu wa kubadilishana kituo cha kazi yeye aje huku nami niende moja Kati ya wilaya zifuatazo. Masasi, Tandahimba , Newala , Nanyumbu (MTWARA ), Nachingwea., Liwale (LINDI)...
Back
Top Bottom