Rivers United vs Young Africans(1-0) | CAFCL

Mozu1991

JF-Expert Member
Feb 14, 2013
463
500
Habarin wadau, hivi hi mechi kati ya River United na Yanga itaoneshwa chanel gani?

=======

Mechi kamishna Sulley Camara kutoka Sierra Leone amewaruhusu Yanga wacheze wote kwa kuwa hakuna cheti kuhalalisha kuwa wamekutwa na corona.

Mpira umeanza kati ya Rivers United na Yanga

28' Rivers United 0-0 Yanga SC

40' Milango bado migumu kwa timu zote

45' Mpira umeenda mapumziko, Rivers UTD 0-0 Yanga

FT: Rivers United 1-0 Yanga SC (Aggr: 2-0)

Yanga.JPG
 
Smt016

JF-Expert Member
Jan 11, 2016
1,624
2,000
Rivers United wamegoma kurushwa kwa matangazo ya moja kwa moja. Labda Yanga wenyewe waamue kujiongeza kwa kurusha kupitia mitandao ya kijamii kama walivyofanya Simba kwenye mechi yao dhidi ya plateau United msimu uliopita
 
Mtoto halali na hela

JF-Expert Member
Aug 10, 2012
34,900
2,000
Rivers United wamegoma kurushwa kwa matangazo ya moja kwa moja. Labda Yanga wenyewe waamue kujiongeza kwa kurusha kupitia mitandao ya kijamii kama walivyofanya Simba kwenye mechi yao dhidi ya plateau United msimu uliopita
Wanaogopa kuchekwa vile wanakazana kupindua meza inawashinda
 
SACO

JF-Expert Member
Jul 25, 2011
1,530
2,000
Tupeane update hii mechi haioneshwina kituo chochote cha kurusha matangazo

=======

Mechi kamishna Sulley Camara kutoka Sierra Leone amewaruhusu Yanga wacheze wote kwa kuwa hakuna cheti kuhalalisha kuwa wamekutwa na corona.

Mpira umeanza kati ya Rivers United na Yanga

28' Rivers United 0-0 Yanga SC

40' Milango bado migumu kwa timu zote

45' Mpira umeenda mapumziko, Rivers UTD 0-0 Yanga

FT: Rivers United 1-0 Yanga SC (Aggr: 2-0)

Yanga.JPG
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom